Klabu hiyo ya Ujerumani imeonesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Manchester United katika dirisha la Januari 2024 baada ya uhusiano na kocha wake, Erik ten Hag kuyumba.
Sancho alisajiliwa...
Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini...
Unapozungumzia Uwekezaji katika SOKA ndiyo huu, ili uweze kuwa bora na imara ni lazima utafute wachezaji wa kukufikisha huko.
Timu ya AL Ahly ya nchini Misri imeamua kufanya hivyo kwa kumdaka...
TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka...
Hivi huyu jamaa ilikuwaje akabadili jina?
Misimu ya nyuma aliitwa Bryson Raphael Ila saivi anaitwa Sospeter Bajana Nini kipo nyuma ya huyu bwana mdogo toka Azam fc
GENTAMYCINE nikiwa nakuja na Threads hapa za Kuwaonya Viongozi wa Simba na Yanga wawachane mubashara ( live ) Wachezaji wazawa kwa Kuwaroga ( kupiga Pini ) Wenzao wa Kigeni si huwa Mnanipuuza na...
Wakati Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha MPIRA MKOA wa Arusha ukikaribia Uongozi wa Arfa uliopo madarakani chini ya Mwenyekiti Mjema umeanza kucheza Rafu kwa kupanga safu za Viongozi wa Vyama vya...
RAIS NA KATIBU MKUU WA KAMATI YA OLIMPIKI TANZANIA WAMEONGOZA TOC TANGU 1/1/2002, HIYO NI ZAIDI YA MIAKA 21.
Katibu Mkuu huyo na familia yake wanamiliki Shule iliyopo Mkuza Kibaha iliyopewa jina...
Habari wanamichezo wa JF? Bila Shaka mpo poa mkiendelea na majukumu yenu ya kulijenga Taifa.
Leo bingwa mtetezi wa ligi namba tano Kwa Ubora barani Afrika namaanisha NBC PREMIER LEAGUE, Dar Young...
Stars imefuzu, imekaba mwanzo mwisho, hongereni sana ila wachambuzi wote wa soka hapa bongo walimponda kocha kuwa amechagua wachezaji wabovu na wasiokuwa na uwezo, wachambuzi wamemdhalilieha sana...
Ukikasirika na huu Ukweli wangu Mchungu GENTAMYCINE toka hapo Nje Kwako ukiona Muuza Dawa za Sumu ya Panya nunua haraka, Korogea katika Kikombe cha Maji kisha Kunywa ili Upumzike kwa Amani na...
Winga huyo wa Manchester United amekubaliana na klabu yake kupewa muda wa kushughulikia suala la tuhuma za unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake Gabriela Cavallin.
Antony (23) hajasimamishwa...
Wadau nawasabahi. Tuwe wakweli nani anastahili kusifi kwa Mchezo wa Taifa Stars na Algeri?
Mimi nawasifia ALGERIA licha ya kucheza Mpira Mkubwa kwa kiwango hicho huruma na upendo wao kwa TAIFA...
Hatimae Aubin Kramo leo amecheza na kufunga goli Simba ikiifunga timu ya Ngome fc ya Dar es Salaam goli sita kwa bila. Magoli ya Simba yamefungwa na Aubin Kramo, Baleke goli 2, Kapombe, Onana na...
Safari ya kwenda Rwanda kushangilia timu yao yanga wameshajaza mabus 6 , huku upande wa pili wamejaza mabus mawili , nataka nishuhudie huu mpambano mpk mwisho
Uongozi wa Timu ya Taifa ya Brazil imechukua maamuzi hayo dhidi ya nyota huyo wa Manchester United ikidaiwa alimshambulia kwa kumpiga kichwa Gabriela Cavallin walipokuwa hotelini Januari 15, 2023...
Kumekuwa na tuhuma kwa wachezaji wetu wengi kuhusishwa na kupanga matokeo(rushwa) wanapokuwa kwenye timu zao. Na mmojawao ni Kipa Kakolanya. Kuna muda mwingine ukimuangalia unaona jinsi alivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.