Nikiwa kama mwarabu niwatakie ushindi mkubwa waarabu wenzangu wa Algeria.
Hawa waswahili wanakelela sana, hakikisheni mnawapiga goli za kutosha kuanzisha 7-0 na kuendelea ili warudi kushabikia...
Micah Richards Siku ya mwisho ya dirisha la usajili aliangukia mikononi mwa Fiorentina.
Alikuwa hajui neno lolote la Kitaliano. Alikutana na mwenyeji wake ambaye ni Balotelli.
Katika zoezi la...
Naomba msaada wa ufafanuzi toka Kwa Watanzania wenzangu. Tangu Jana majira ya saa 6:10 usiku kuna Watanzania wameanzisha nyuzi humu JF na mitandao mingine kuonyesha jinsi walivyo na kinyongo Kwa...
Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo...
Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka...
Nawakumbusha tuu ni katika Uongozi wa Rais Samia ndio Taifa hilimlimepata mafanikio makubwa sana kwenye sekta zote kuanzia uchumi na Biashara, Huduma za jamii Hadi Michezo.
Hivi ndivyo Rais Samia...
Habari za Mda huu watanzania wenzangu
Kwa nilivyokiona kikosi Cha tiafa stars Jana ni uhakika kuwa kocha HAPANGIWI KIKOSI na mtu kama angekuwa anangiwa kikosi Nina uhakika asilimia 100% kiungo...
Kumbe Ng'ombe wa maskini hazai. Makala ndeefu tulizoandaa kuweka magazetini na mitandaoni tumelazimika Kuzifuta kimyakimya. Mpaka Sasa wengi tuko vitandani hatujaamka tunahisi tukitoka nje...
Watalam wa gozi nadhani mtakuwa pamoja na mm, hili ni JINI la RED Devils.
Mguu wake kama robot loooh!!! Unbearable, muhuni ana mbio na mashuti ya mikito utadhani kashushwa direct from heaven...
Yaani Tanzania hii ya Mabeki wabovu akina Dickson Job na Bakari Nondo Mwamnyeto ndiyo iwafunge kweli Algeria, Uganda na Niger?
Yaani Tanzania hii ya Kiungo mbovu na Mrembua Macho muda wote Feisal...
Namshauri kocha wa Stars maana Niger wanaweza kujiangusha kwa Uganda huko kwao ili kutukomoa kutokana na kitendo chetu cha Ball Boys kurusha hovyo mipira uwanjani ili kuchelewesha muda.
Mechi...
Habari za jioni Watanzania wenzangu.
Kwa miaka ya hivi karibuni mpira wa Nchi yetu umechangamka sana. Vilabu vyetu Simba na Yanga si tu vinaogopeka baki pia vinacheza mpira wa kuvutia kwa viwango...
Kumekuwa na mjadala na kutofautiana kwingi kuhusu ubora wa Ligi ya NBC.
Kufuatia Taifa Stars kufuzu kwenda fainali za AFCO 2024 huko Ivory Coast, bila kujali kiwango tulichoonyesha katika hatua...
Katika wachezaji waliokua wamechokwa na mashabiki wao basi hutakosa kulitaja jina la Kibu Dennis
Alikua amechokwa haswa, kwa sisi tuliokua tunaangalia mpira huku vibanda umiza tulikuwa...
Aliyekuwa mtendaji mkuu wetu aliyepita ndugu Barbara alianzisha harambee ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja chetu ambapo mwekezaji wetu alitoa bilioni 2 kama mchango wake binafsi...
AFCON inatarajiwa kuanza huko Ivory Coast chini ya miezi 4 kutoka sasa. Unaenda kutafuta mechi ya ushindi lakini mategemeo yako ni kina Boko ambao hawajacheza mechi ya ushindani kitambo sana maana...
Man united wameanza ligi kwa kuchechemea wakianza na ushindi wa mbinde nyumbani kisha kipigo ugenini kwa Spurs
Arsenal nayo imeanza ligi kwa ushindi wa mbinde 2-1 nyumbani dhidi ya N.forest na...
Kama miaka ingekuwa inarudi nyuma, basi ningeirudisha ili nione wababe hawa wawili ambao wametangulia mbele ya haki walivyokuwa wakiumizana pale katikati ya dimba, ubabe sio wa kawaida.
Simba...
Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize...
Kwa sasa tumetulia tu tunamwangalia kocha anavyojikanyaga, ila Tukishindwa kufuzu Afcon ndo tutatoka sasa kusema " Tulijua tu".
Yaan kocha aombe tufuzu, ila tukishindwa Analo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.