Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mashine ya Mjerumani imeanza kazi huko DRC ambapo ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao imeanza kufanya kazi ambapo mkongo kakimbizwa isivyo kawaida kipindi cha pili hadi akaamua kuachia, ilikuwa...
5 Reactions
6 Replies
724 Views
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY. . 🏟 β€” 76 Mechi βœ… β€” 27 Ushindi 🀝 β€” 22 Sare ❎ β€” 27 Vipigo ⚽ β€” 82 Magoli ya kufunga πŸ₯… β€” 68 Magoli ya kufungwa 🚫 β€” 31 Clean Sheet...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu. Kupitia ujumbe wake, Ahmed; Soma: Malalamiko...
0 Reactions
4 Replies
571 Views
Wanajukwaa Kwema! Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo. Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni...
6 Reactions
22 Replies
637 Views
Kibu Denis kwenye ligi kuu ana zaidi ya siku 400 tangu afunge goli lake la mwisho, goli la mwisho Kibu alifunga tarehe 5/11/2023, ambapo aliwafunga Yanga kwenye yale matokeo ya goli 5-1, baada ya...
5 Reactions
70 Replies
1K Views
Kocha wala ubora wa team. Ni ushindi wa kimichongo. Ndo maana unaona Yanga tunapita mtu 5 lakini wala hatuongei sana. Tunafahamu si mbinu za kocha wala si ubora wa wachezaji. Hizi teams...
0 Reactions
10 Replies
434 Views
Nimecheki hii orodha baada ya Kusikia Mwamuzi Kepha Kayombo amechezesha mechi nyingi za Simba Sports KEPHA KAYOMBO. Amechezesha Mechi hizi za simba Sports Vs Jkt Tanzania Vs Coastal Union Vs...
4 Reactions
20 Replies
686 Views
Haijajulikana amefuata nini. Ila watu wachawi sana,mmemsagia kunguni mwenzenu kuwa hafiki pasaka na hajafika kweli ilaCV yake imeboreahwa Soma Pia: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi
7 Reactions
17 Replies
518 Views
Kwa kawaida mchawi hudhani watu wengine ni wachawi pia.Ukiona unafanikiwa kazini wachawi wa hapo kazini wajaribu kukuroga wakashindwa kwa kuwa tu una Mungu,watajua wewe ni mchawi kuliko wao. Kwa...
2 Reactions
2 Replies
170 Views
Huyu kocha wenu mpeni muda. Atawafikisha mbali
10 Reactions
14 Replies
673 Views
Tunajua utopolo ana mamluki wengi,wengi wakiwa wezi wakubwa hii nchi wanaotoa pesa zao kuhonga wachezaji wa timu pinzani ili ama wawalegezee wanapocheza Mao,ama waikamie Simba ikibidi hata kuvunja...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Sead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo. Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
I salute you kinsmen Hivi sasa imekuwa too much kwa ligi yetu ambayo inazidi kupanda ubora ila sasa wahuni wachache wakiongozwa na TFF na klabu yao ya simba wanatia kinyaa sana Nadhani msimu huu...
7 Reactions
126 Replies
2K Views
Simba wapo ugenini kikanuni ila kiuhalisia ni kama walikuwa home tu. Uwanja umejaa watu wa simba utadhani ni dsm Jifunzeni uzalendo nyie wakulima. Mnaipenda simba badala.ya team yenu.ya home...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Huyu mchezaji hafai. Ni hasara mwacheni. Nawashauri hivyo.
1 Reactions
11 Replies
229 Views
Inaelezwa kuwa timu ya Tabora United imeahidiwa Tsh. Milioni 100 kama itamfunga Simba kwenye NBC PL leo, Februari 2, 2024. Sioni Simba akishinda leo.
0 Reactions
32 Replies
792 Views
Mimi nakumbuka hii hapa. Siku hii tukiwa na ma fans wa Germany, baada ya matokeo, Pombe zilinyweka kuanzia saa 6 usiku huo Hadi kesho yake saa 6 usiku. (Mengine sisemi). Toka siku hiyo sijwahi...
1 Reactions
3 Replies
172 Views
Kwa mechi ya Jana na Tabora na mechi iliyopita na CS Constantine inaonekana kabisa kuna marekebisho makubwa Sana yanatakiwa kufanyika wakati Simba inajenga timu. Kwanza wachezaji waongeze umakini...
5 Reactions
18 Replies
420 Views
Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango poriπŸ˜‚
2 Reactions
15 Replies
473 Views
Tuweke Ushabiki kando. Hii ligi yetu inaelekea wapi. Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza. Ni timu zilizo na...
3 Reactions
46 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…