Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kusambaa kwa picha ya Mchezaji huyu wa Kimataifa kutoka Congo akiiaga Tanzania, Uongozi wa Simba umetolea maelezo kuwa mchezaji wao Baleke kaelekea Congo kushughulikia Passport yake...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna hasira ambayo Eng Hersi Saidi anawasababishia mno watu kwa kuonekana kwenye kila tukio kubwa la Klabu. Muonekano wake unasababisha kero na chuki hasa kwa wale wasio #WANANCHI. Kama wewe ni...
2 Reactions
7 Replies
922 Views
CAF katika kikao walichokaa jana mjini Rabat, Morocco wameamua kuanzia msimu huu wa 2023/2024 na kuendelea zile timu 16 ambazo huwa zimetolewa katika hatua ya timu 32 katika ligi ya mabingwa wa...
21 Reactions
95 Replies
7K Views
Yanga yalamba bonasi ya milioni 405, kutoka Sportpesa, kwa kumaliza Mabingwa wa Ngao ya jamii, Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho bara na kufikia hatua ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa sheria za sasa timu zinazoingia CAF mabingwa haziwezi kudondokea CAF Shirikisho, Ukitoka umetoka! Na kama ilivyozoeleka katika ligi kuu yetu nafasi ya kwanza na ya pili huwa ni Simba na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Timu kubwa.... watu wakubwa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA), limemchagua Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga SC Simon Patrick kuwa Mwanasheria wa FIFA anayeshughulikia masuala ya migogoro ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Usinichoshe nisikuchoshe... Hii yanga ni hatariiii Weka mbali na watoto.. Hakuna kama yanga.. Wachezaji wanamchoko ila ubingwa umerudi jangwani.. Kuna timu gani duniani inaweza kushangilia...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Klabu ya Yanga imekuwa na mfululizo wa mikutano na mchezaji wao Mayele, mchezaji ambaye tumeaminishwa bado ni hatimiliki ya Yanga kwa mwaka mmoja ujao. Hivyo basi Yanga ina mamlaka ya kumtumia...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama inavyofahamika kuwa Fiston Kalala Mayele ndio key player wa yanga kwa sasa na ndio siri ya mafanikio waliyoyapata msimu ulioisha. Hali hiyo imepelekea kupanda kwa thamani na kuwa bidhaa...
10 Reactions
55 Replies
7K Views
Mchezaji huyo ambae amedumu kwa muda wa miaka 12, toka enzi za Sir Alex hatimae anaondoka rasmi na kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine. David De Gea anaondoka baada ya kushindwana na timu...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Sio kwa ubaya lakini. Mnatuchukia kwani kosa letu ni nini?! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nunueni jezi kwanza ndio mpate hela ya usajili
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji hatari AUBIN KRAMO kutoka Asec Mimosas kwa Mkataba wa miaka miwili. Kramo (27) raia wa Ivory Coast ana uwezo wa kucheza winga zote...
19 Reactions
75 Replies
9K Views
Nikiwa kama mmojawapo ya wadau wakubwa wa soka la nchi hii, na muumini wa maadili mema katika Kila nyanja, sipendezwi na Ile shangilia. Kwa wadau wote wa mpira nadhani mnaona Ile shangilia hadi...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Tunajua upande wa pili bado wamepigwa na butwaa wa hizi sajili zinazoendelea pale Msimbazi. Msimu huu ulioisha kuna mambo yaliyotokea katika ligi na hasa mashindano ya kimataifa ambayo kwa kweli...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Diarra screen protector 2.djuma shaban soda ya bemba 3.lomalisa wazir wa water 4.job big brain 5.mwamnyeto super captain 6. Bangala mzee wa kaz chafu 7.moloko Ak47 8.aucho doctor wa ⚽️...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mchezaji amebakiza mwaka mmoja tu kuna sababu gani ya kumpeleka kwa mkopo? Si umpe pesa tu za kuvunja mkataba wake ili akacheze kwa. Uhuru. Huko aendako. Unashindwaje kumlipa mtu mil 100...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Liked by realclatouschama and 22,638 others 28_manula Baada ya kufanya vipimo hospital ya Taifa MUHIMBILI-MLOGANZILA nilianza safari ya kurudi nyumbani kwetu KILOMBERO Nilifika morogoro mjini...
4 Reactions
9 Replies
749 Views
Mtoe au muweke mwingine hapo.
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kiungo wa kati wa zamani wa Barcelona na Inter Milan Luis Suarez, mwanasoka pekee wa kiume aliyezaliwa nchini Uhispania kushinda Ballon D'Or, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 siku ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Akihojiwa na kituo kimoja cha Tv huko Uingereza anapoulizwa baada ya kushinda TREBLEE na man City kipi kimebakia akanuuukuu " TO SCORE A GAOL AWAY AGAINST SPURS AND WIN A GAME" wataalamu wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…