Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kuna uwezekano mkubwa kwa Jezi mpya za Yanga kuvunja rekodi ya mauzo ya msimu uliopita. Kupitia vyanzo mbalimbali mikoani inaonyesha kuwa Jezi hizo pamoja na bei yake kuwa juu lakini wateja...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunaufahamu vizuri ubora wa kiungo fundi mwenye Jezi yake pendwa Bara na Visiwani tangu akiwa mitaa ya Jangwani na hata ndani ya Timu ya Taifa. SWALI: Ni je, huyu wa Azam FC atakuwa bora zaidi ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji ukitathimini kwa ubora walionao hakuna hata Timu moja ya Kariakoo wanaoweza kuwafikia kikosi Cha Azam Fc. Naiona Azam ikileta ushindani wa hali ya juu na...
0 Reactions
6 Replies
618 Views
KUMRADHI: (MALENGO NI KUCHEZA FAINALI) - Admin aturekebishie kwenye Heading. Tuko katika maandalizi ya kupambana kuwania taji la CAF. KWENYE ligi sizungumzii sana kwasababu Bingwa anajulika...
2 Reactions
8 Replies
651 Views
Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Djuma Shaban atakuwa miongoni mwa wachezaji wa Kimataifa watakaokichafua kunako Ligi kuu ya NBC lakini katika Timu gani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Sheria wa Timu ya Yanga Adv. Saimon Patrick ateuliwa Baraza Kuu la FIFA kuwa miongoni mwa Jopo la Wanasheria 21 kutoka Mabara yote yenye Wanachama wa FIFA. Majukumu yao yakiwa ni...
6 Reactions
4 Replies
839 Views
Inadaiwa kuwa beki huyo wa kati anayehusishwa kuondoka ndani ya Manchester United hata ikitokea akabaki kikosini anaweza kupoteza cheo cha kuwa nahodha mkuu wa timu badala yake nafasi hiyo ikaenda...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kuendelea kuiimarisha safu yake ulinzi, hatimaye Walima Alizeti wamemnasa beki wa kushoto Yahya Mbegu katika kuhakikisha wanakuwa imara zaidi pindi michuano itakapoanza ile ya Kimataifa na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay amezidiwa sekunde chache na Mkenya na kuwa kwenye nafasi ya pili, kilomita 10 kwa muda wa dakika 27:43 ambapo ni muda bora kuliko wa siku...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kipindi Cha Usajili Timu Za Ulaya- "Agreement Reached We Are Delighted To Announce We Have Signed Player ..... For More Information Visit Our Website" Timu Za Bongo- "Weka Bando Kaa Karibu Na...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Golikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Mahututi nchini Croatia Taarifa iliyotolewa na Klabu ya...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi. Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
haya leo tumkumbuke legend mwenyewe Kelvin Yondan Engineer Cotton Juice Pamba. Unamkumbuka Yondan kwa lipi?
0 Reactions
4 Replies
527 Views
Niliposikia Simba SC wamesajili mwamba head of scouting NALIA NGWENA niliona Simba sc wameamua kupiga hatua. Ila nimekuja kushangaa kuona Simba SC wanavizia wachezaji Airport. Sasa nauliza huyo...
11 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu.. Simba wamesema leo watatawanya bahari kwa wachezaji watakao watambulisha. Ina maana ni wachezaji wanzuri,sasa simba wajiandae kisaikolojia vinzuri maana yanga watatambulisha namba 6...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
6 Reactions
68 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…