Ikiwa deal za timu hizi zitatimia Basi kuelekea Msimu ujao
Washambuliaji wa yanga na Simba watakuwa hivi
Yanga
11 lilepo
10 ngoma
9 mayele
7 kizumbi
Simba
11 adebayoh
10 chama
9 beleke
11...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Uingereza Bi. Katherine Grainger ambapo amesema wamevutiwa...
Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia...
[emoji1][emoji1] nyie watu hii timu ipo serious kweli wakati Yanga mwisho wa msimu wana medali 4 na vikombe 3 ila bado wana Kiu ya mafanikio, Simba kwao ni tofauti kabisa.
Kuonyesha hilo wao...
Haya Maupuuzi yenu mnayoyafanya sasa Kutuvutia Mashabiki wenu (GENTAMYCINE nikiwemo) yatatuingia vyema Mashabiki wenu pale tu tukisia Timu (Simba SC) imesajili Watu (Wachezaji wa Kazi) tupu ili...
Mwanariadha wa Kimataifa Gabriel Gerald Geay ashinda mbio za Boston 10K (B.A.A 10K) na kuweka muda wake bora wa 27:49 huko Boston, nchini Marekani Jumapili, tarehe 25 Juni 2023.
The B.A.A. 10K...
- π¨ππͺπππ π πππ¨π‘ππ¨.
Klabu ya Simba inaongozwa Kwa Propaganda hapo awali ilipokuwa inaingia mkataba na M-Bet, Simba hawakuweka bayana kuwa huo mkataba unathamani ya kiasi gani,
Yanga SC walipoingia...
TFF na Bodi ya ligi sijui masuaala ya Michezo Kama hii huwa mnayabariki??
Mbeya City walinyongwa hadharani marefa walikua upande wa mashujaa (hakuna haki kwa Mbeya City)
Hakuna offside lakini...
Lile golikipa linaloonekana kwenye social media likidaka mishale hadi hewa ya gesi ya oksijeni aisee kama ni kweli nyanda yule amesajiliwa, basi msimu ujao mnyama hata asipoweka beki nyuma kuko...
Leo ni mechi ya mwisho ya PlayOff kati ya Mashujaa na Mbeya City.
Mechi ipo live hapa Mbeya 0-0 Mashujaa. Mbeya City ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kula kichapo cha 3-1 huko...
Msimu uliopita tumekuwa na timu iliyofanya vzr sana.
Tumepoteza mechi moja tu
Tumeruhusu magoli machache zaid ya yoyote.
Tumefunga magoli mengi zaid ya yoyote.
Tumekuwa bora sana bahati mbaya...
Nimesikia mahojiano ya simu yaliyofanywa kwenye kituo kimoja cha redio cha Wasafi kufuatia tetesi zinazoenea za Yanga kufungiwa usajili.
Ally Kamwe ameonekana kusikitishwa na uvumi huo na kuuita...
[emoji599]HAJI MANARA YANGA WANAWEZA KUINUNUA SIMBA
Anaandika HAJI MANARA
"Hakuna Shortcut katika kufanikiwa,na lazma tubadilike, tuishi Kiuhalisia na tuache porojo,Washabiki wetu wa leo sio...
Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023.
Kumezuka...
Prize Money for Some African Leagues!
Nigeria π³π¬
Premier League Winner N100 Million ($216,037)
South Africa πΏπ¦
PSL Winner R15 Million ( $800, 565)
Morocco π²π¦
Botola Winner MAD 3 Million (...
Ukitaka kupata habari za super league basi ukazitafute kwenye magroup ta whatsapp ya mashabiki wa simba au utazisikia kwa Ahmed Ally au Try Again kwenye mkutano wa Simba.
Official page ya CAF...
Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua...
Nilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo (Simba na Yanga) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi ya awali ya Club Africaine kama akifungwa au akitoka Sare na asiponaswa hapo anaenda...
Haya mambo yangekuwa Simba kelele zingekuwa za kutosha.
Endeleeni tu
===
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said wakati anahutubia kwenye Mkutano Mkuu amesema, kwa msimu wa 2022|23 klabu ya Yanga...
Cristiano Ronaldo a boy from Madeira ureno Hadi kuwa superstar wa DUNIA kwenye mtandao unaotumiwa na watu wengi duniani Instagram, kuhama kwake ulaya kwenda uarabuni kumeleta mabadiliko kadhaa...