Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Soka mmecheza vizuri, mmeshinda Mechi ya ugenini dakika ya 87. Mnashangilia goli mnampiga kocha wa Mbeya City ngumi!! Hii Mechi refa akiivunja hapa kwamba Mbeya city hawana kocha kwenye benchi na...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za Ijumaa ndugu zangu! Mashabiki wenzangu wa Man United? Polen sana kwa kuendelea kua Interestered na Kila Player na Kuishia kuwaweka kwenye list wakati Team zingine zikisajili. Leo naomba...
3 Reactions
9 Replies
871 Views
Sijajua viongozi wa yanga wametumia vigezo gani kumchukuwa huyu kocha kiukweli Ila any way acha tuone kwanza kwa watu ambao wanafatilia mpira Watakubaliana na mimi kwa jinsi yanga inavyo cheza kwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba. Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Msimu ujao mtaumia sana. Faida mwaka huu tumepata tsh mil 500. Na mmeona matumizi yetu ni mabilion ya fedha.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe amethibitisha kuwa michuano ya African Super League itaanza kutimua vumbi mwezi Oktoba mwaka huu na kuongeza kwamba kutakuwa na jina...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Nakumbuka baada ya mafanikio makubwa 2012/13 viongozi wengi kutoka Halmashauri za Miji tofauti mikubwa na midogo, walisafiri kilomita nyingi kwenda Mbeya kujifunza jinsi gani Halmashauri ya jiji...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
BREAKING:Kwa mujibu wa jarida la Depor finanzas la Turkey [emoji1250], hizi ndizo klabu zenye ushawishi Mkubwa Afrika katika mtandao wa twitter kwa mwezi May 2023 1. 1.86M - [emoji1093] Al Ahly...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Ruben Neves katika umri wa miaka 26 huku Barcelona wakiwa wanamuhitaji amechagua kwenda zake Uarabuni. Huko Chelsea lundo la wachezaji wako mbioni kuelekea Uarabuni. Alianza Ngolo Kante, na sasa...
19 Reactions
70 Replies
5K Views
Ni Mchezaji ambaye sijui Mpuuzi gani ndani ya Simba SC alishauri atolewe kwa Mkopo. Said Hamis Ndemla ni Kiungp mwenye Kipaji kikubwa cha Soka na ana Faida kadhaa Kukaba, Kupiga Mashuti ni mzuri...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Diarra 2. Dickson Job 3. Kibwana Shomari (umkumbushe huyu kijana wako! Mechi iliyopita alikuwa anajisahau sana) 4. Ibrahimu Abdallah (Bacca) 5. Bakary Mwamnyeto 6. Khalid Aucho 7. Abubakary...
10 Reactions
68 Replies
6K Views
Miaka kumi ya kiungo mkabaji wa Simba hatimae imefikia tamati, utakumbukwa kwa kuwa mmoja ya wachezaji wazawa waliopata namba kwenye ile timu iliyojaa mastaa kiasi cha kuchukua ubingwa mara nne...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Kutokana na Mjadala alio Uanzisha zakazakazi Afisa habari wa Azam FC. Kuwa Yanga sio Bingwa Mara(29)bali Yanga ni Bingwa Mara(22)na Simba bingwa Mara 21. Mjadala Umekuwa Mkubwa Wengi wakikosoa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mchambuzi ni mtu makini na mtaalamu wa fani husika kwa weledi wa kiwango cha juu. Bongo hatunao watu wa aina hii mfano wa Dkt. Leakey Abdallah wa kizazi cha zamani na kwa kizazi cha sasa mfano wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Benard Morrison ni kama Ex aliyeondoka kwa dharau sana na kila tulipokutana nae alitudhihaki. Je, unakubali kumpokea Morrison katika klabu yetu tena? Morrison anaenda kucheza nafasi ya nani?
4 Reactions
203 Replies
10K Views
Azam FC wanaondoka na kombe la NBC PL baada ya kulikosa kwa kipindi kirefu.
2 Reactions
36 Replies
3K Views
GENTAMYCINE naujua Mpira, Nimecheza Mpira, Nauchambua Mpira na Jicho Kali na Tukuka la Kumjua Mchezaji na nikipointi huwa sibahatishi ila Tajiri Wewe umeshindwa kunifuata PM hapa ili tuwasiliane...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Bernard Morrison aachwa Rasmi na Yanga SC. Kama klabu imethubutu mazima kuachana na huyu mwamba basi nina uhakika kuna kitu kinapikwa jikoni. Nafahamu kuwa alikuwa option ya muda mfupi katika...
10 Reactions
51 Replies
8K Views
Gaël Bigirimana ni raia wa Burundi anayejiunga na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania akitokea Glentoran FC iliyopo United Kingdom. Yanga SC wamekamilisha dili hilo kwa dau lisilowekwa bayana...
8 Reactions
122 Replies
9K Views
Kuna tangazo huwa linasikika kwenye redio kwamba Brazuka wakishirikiana na academi moja huko Marekani watakuwa wakizunguka mikoani kwa ajili ya kusaka vipaji vya mpira kwa vijana. Jinsi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…