YANGA imekubali kiroho safi kuachana na Kocha Nasreddine Nabi. Lakini kimeibuka kitu kingine ambacho ni zaidi ya kivumbi na jasho na hakuna anayetaka kukitolea tamko.
Mastaa wao tegemeo watatu...
Nimeona hamasa ya Raisi Samia Suluhu Hassan tu.
Wengine mliokuwa mnavimba na kujitutumua mbele ya camera timu zenu za kariakoo (Simba na Yanga) zilipokuwa zikicheza mbona Jambo la kitaifa...
Mchezaji wa ukweli na mwenye hadhi ya kimataifa hawezi kuingizwa dakika ya 86 halafu hao wanaocheza humo ndani nao wana uwezo wa kawaida sana, huyu ADEBAYOR hapana, hapana, hapana, ni wizi mtupu...
Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau.
Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji.
Acha kiburi ba majivuni...
Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia...
Sio kwamba namkashifu kocha lakini kiukweli upangaji wa kikosi umeifanya timu yetu icheze kiwango cha chini sana, hawa wachezaji wa kigeni kama Abdi Banda, Samata, Msuva, Tiba John, yule dogo wa...
Ni wazi yanga hawakukubali kumuuza feisal kwenda Azam kinyonge bali walipiga hesabu ndefu na zenye faida,
Yanga atanufaika na mauzo ya feisal akiuzwa sehemu yeyote nje ya nchi kwa kupata asilimia...
Kesho Stars anacheza na Niger pale Lupaso, macho na masikio yetu yako kwa kiungo mshambuliaji wa Nigeria victor Adebayor, wengi tunataka kumuona kama bado ana uwezo kweli ama imebakia history tu.
Mashabiki wa Tanzania [emoji1241] hakika ni watu wa maajabu bado tupo kwenye zile zama za kuamini Mayele ni mwanayanga au Baleke ni mwanasimba huu ni mfano mdogo.
Tunashindwa kutambua hawa ni...
Kila mtu hapendi aibu na kushuka. Hata Nabi na wachezaji wanaoondoka Yanga baada ya kuipa Yanga Mataji mengi na kucheza finali ya CAF wangependa kuondoka na sifa Yao hiyo kama ikiwezekana.
Ukiona...
Yes, ukistaajabu ya Okwa utayaona ya Sawadogo, hakika mashabiki wa Simba ipo shida kichwani kwa oblangata. Hizi kelele wanazopiga, hizi furaha walizo nazo sijui wanazitoa wapi!
Nimejiuliza...
Erling Haaland amekutwa na tukio hilo baada ya timu yake ya Taifa ya Norway kupoteza mchezo kwa magoli 2-1 dhidi ya Scotland, ambapo aliingia kwenye basi ya tmu moja kwa moja bila kuwasalimia...
Niwaondoe wasiwasi kuwa tunzo itaenda kwa haalaand ila kwa mtazamo wangu!
Na kabla sjaandika sana niweke wazi mimi shabiki wa mpira wa messi
ile balon d or ya messi ya 7 alichukua
alishinda...
Mchezaji wa Simba SC, POS, jana alianza kuaminiwa na kupewa dakika za kucheza baada ya kocha Ailou Cisse kumpa nafasi kuanzia dakika ya 80 ya mchezo, akimbadilisha Ismailla Sarr, mchezaji wa...
Yes pasipo na shaka hii Simba na watu wake kwa sasa wanaifahamu sana Yanga kuliko Yanga yenyewe inavyojifahamu.
Simba wapenzi wanakuja na maswali yao mazuri tu na kuanza kuyajibu tena wao...
Tena nadhani kwa mwana Simba SC kuliko kuwa na Usununu ( Chuki ) dhidi ya Yanga SC kufika Fainali ya CAFCC ni Bora tukazihamishia kwa Mwekezaji Wetu, Mwenyekiti wa Bodi, Mwenyekiti wa Wanachama...
Mshambuliaji #MarcusRashford yupo katika mazungumzo ya mkataba mpta wa kuwaendelea kuichezea Manchester United unaidaiwa kuwa utamfanya alipwe Pauni 375,000 (Tsh. Bilioni 1.1) kwa wiki...
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!
✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !
"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"
"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.