Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mabeki wengi wakikutana nae huwa wanasema anachafua hali ya hewa, mabeki wanapoteza umakini jamaa ndio anatupia.
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Chama cha soka nchini Tanzania kimeachia majina rasmi ya wachezaji wa Tanzania ambao watashiriki kwenye mechi za kuwania ushiriki wa mashindano ya AFCON 2023 dhidi ya Niger.
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Sina shaka kusema Simba ndio kati ya timu zenye kashfa za kuhonga wachezaji au marefa hapa Tanzania. Ukianza saga la Kabwili hili liliisha bila kujua hatima yake, Kabwili aliyewahi kuwa golikipa...
3 Reactions
9 Replies
827 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ameshuhudia Timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (Tanzanite) ikiibuka na ushindi wa vikapu 69-34 vya Timu ya Taifa ya Eritrea. Mchezo...
2 Reactions
0 Replies
630 Views
Klabu inapenda kuutangazia umma kuwa, tenda ya Jezi za Simba SC kwa msimu wa 2023/2024 inakwenda kwa... SANDALAND THE ONLY ONE Na hadi muda huu, Jezi zipo tayari zinasubiri kipenga ila tuanze...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Nataka niwaambie kuwa,kauli za kibaguzi za mhandisi Hersi,kiburi cha pesa na nguvu ya wanasiasa walio nyuma yake,dhidi ya wachezaji,ni mambo ambayo yameleta utisho wa wachezaji kutotamani kucheza...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Diamond Platnumz ametangaza rasmi kujiunga katika klabu ya Yanga SC akitokea katika klabu ya Simba SC kama Shabiki na Mwanachama. "Walimfanyia Fitina Manara, kwanza Manara ni ndugu yangu...
22 Reactions
195 Replies
12K Views
Kamati ya Nidhamu ya CAF imeipiga faini ya USD 120,000 (takribani shilingi milioni 276) timu ya Al Ahly ya Misri kutokana na matukio yaliyojitokeza katika mechi yake dhidi ya Al Hilal ya Sudan...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Club ya Simba, ni kwamba Fred Vunja Bei amemwagwa rasmi.
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Klabu ya Yanga ni kuwa Kocha wa kikosi cha Wanajangwani hao, Nasreddine Nabi amemaliza mkataba wake na ameamua kuondoka kwenda kutafuta maisha mengine. Yanga...
11 Reactions
120 Replies
13K Views
Azam hawapendagi ujinga. Ametimuliwa usiku usiku sababu ni kuuza mechi yafainali
10 Reactions
39 Replies
5K Views
Hawa wachezaji wanahusishwa kuondoka wote ni foreigners. Wachezaji wa ndani mbona ni wengi wamefanya poa kwenye hizi games za CAF? Maana yake ni nini? Nikichogundua ili uwe marketable Kuna haja...
14 Reactions
42 Replies
3K Views
Tunaomba muweke takwimu sawa kwenye website yenu ili kumaliza ubishi na uzushi. Tuelezwe ligi ilianza lini rasmi ukiacha yale mashindano ya bonanza kama ndondo.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
LIONEL Messi amethibitisha kuwa “hafikirii” kama atacheza Kombe lingine la Dunia baada ya kuiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa mashindano hayo mwaka jana nchini Qatar. Messi ambaye ana umri wa...
0 Reactions
3 Replies
525 Views
Mji kuitwa Jiji sio lelemama. Jiji huwa na vitu vingi sana kuliko mji na halmashauri. Unapoona jiji linashindwa kuwa na timu ya ligi kuu ni ama hilo Jiji limeharakishwa kuitwa Jiji kisiasa au...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Nipo hapa Johari Rotana kama moja ya wahudhuriaji. Nipo hapa kuwaletea kinachojiri Ahmed yupo Live kutuambia nini kitakachojiri. Sundaland anatangazwa kama mzalishaji na msambazaji wa jezi za...
8 Reactions
144 Replies
13K Views
Ni ajabu na kweli mashabiki na wanachama wa simba pamoja na viongozi wao wamebaki kuiongelea yanga muda wote na kusahau kabisa ya kuwa wanaitaji kuijenga timu yao ambayo imetoka kapa misimu 2...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom