Kama tunavojua Mane hatoendelea na Bayern msimu ujao ila hadi sasa bado haijajulikana atasainiwa na klabu gani.
So far klabu ambazo zimejiweka wazi kumtaka nyota huyo wa Senegal ni: Chelsea...
Nelly alishawai kuimba
Nini kinahitajika kuwa namba moja
Wa pili sio mshindi
Wa tatu hakuna anaemkumbuka
Ukiwa namba moja
Watakaa na kuiandika hata wakichukia
Basi ndivyo ilivyo na kwenye...
Nikiwa kama mwanachama na mwandamizi wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal napenda kumfikishia Rais Eng.Hersi Said maazimio tuliyoafikiana wanachama wa tawi la Yanga, Magufuli Terminal kuwa...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma leo Juni 15, 2023 mkoani Tabora amefungua mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSSETA) kitaifa katika viwanja...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha...
Tunajua mnafanya kazi kubwa ya usajili. Pamoja na vipaji mnavyopambana kuvichukua lakini tuna tatizo kubwa la vipaji kutokea hapa nyumbani. Hii imepelekea mara nyingi tubakie na local players wale...
Ikiwa zimepita siku chache baada ya kutamatika kwa ligi kuu soko nchini England maarufu kama Epl. Leo chama cha soka nchini humo kimetoa tayari kimetoa ratiba ya msimu ujao 2023/24.
Kwa mujibu wa...
Feisal alisema alisainishwa mkataba wa misimu mitatu, bila kujua ilihali yeye alitaka mkataba wa miaka miwili tu. Je, tuseme walitudanganya, au walimdanganya na Profesa juu ya mkataba wake...
Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
Wananchi hawapoi.....hawaboi[emoji23][emoji23]
Yanga SC baada ya kutetea ubingwa wao wa Azam Sports Federation na kuwa wametetea mataji yao yote matatu.
Leo Saa 5:00 Wananchi watafanya Treble...
Rais wa Yanga (Eng. Hers) kupitia kituo Cha radio wasafi FM alizungumzia suala la kocha Nabi kuwepo Yanga.
"Kocha Nabi yupo sana mtoto wake ambaye anamsimamia tulikuwepo nae kwenye mechi ya...
Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora under 20 kwenye hafla ya utoaji tuzo huko Tanga.
Nampongeza sana lakini kusema ana chini ya miaka 20, mh!
Sitochoka kutokwa na povu na kushupaza mishipa ya shingo Tena kwa kujiamini kwa asilimia Mia kuwa Yanga itachukua kombe mbele ya mwarabu( USMA ALGER).
Mosi, ushindi wa Yanga (nje na ndani) Kila...
Wakuu,
Kuna vitu sometimes huwa vinashangaza sana. Hii dunia hasa Tanzania inaishangaa sana team moja pale Kariakoo yenye jezi nyekundu, Simba.
Wao wamemaliza msimu bila kombe lakini mchezaji...
Taarifa nne tofauti kuhusu benchi la ufundi zitakujia leo kupitia Simba App.
⏰ Saa 7:00 mchana
⏰ Saa 8:30 mchana
⏰ Saa 10:00 jioni
⏰ Saa 11:30 jioni
--
Stay tuned hapa ntawaletea yatakayojiri...
Am informed that kesho jioni viongozi wa chama langu pendwa will have a detailed discussions with Adebayor ambaye ametangaza kutochezea RS Berkane msimu ujao.
Naendelea kufuatilia kwa ukaribu.
Habari wanajamvi.
Leo amesikika Rais wa Tanzania Akimdadavulia Rais wa Yanga SC Bw Eng Hersi Said kwa lengo la
kumuhimiza ahakikishe Mchezaji Feisal Salum anapata haki yake.
Ninacho fahamu kuwa...
Natoa pongezi za dhati kabisa kwa Yanga sc kubeba kombe la Azam shirikisho baada ya kuichapa Azam FC kwa bao moja kwa mtungi.
NALIA NGWENA nilikua nafuraha kubwa lakini furaha yangu imekatishwa...
Leo vyombo vya habari nchini Algeria vimetangaza tiketi zote 62,000 zimeisha within two days.
Mwarabu anataka kumfanya nini huyu utopolo jamani maana hawa jamaa tabia zao tunazijua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.