Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 Milton Nienov Tunamshukuru Kocha wa Magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
kama tuliambiwa Nabi atakuepo mpaka 2024 lakini Leo hiii NABI na uongozo wa Yanga unathibitisha mkataba ulikua mwaka 1. Napata ukakasi ishu ya FEITOTO ALIKUA na Hoja, Kuna kitu hakikua Sawa ndo...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa kawaida unaposaini mkataba na kuonyesha Cheque basi tunatarajia jumla ya kiasi cha kwenye cheque kiakisi thamani ya muda wa mkataba unapodumu hadi kufikia tamati. Je, mkataba wa Sandaland na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi anaelekea Ujerumani kuhudhuria kwenye Ufunguzi wa mashindano ya Dunia ya Olimpiki Maalumu ~ Special Olympics World Games yatakayofanyika kuanzia tarehe 17 hadi 25 Juni...
1 Reactions
1 Replies
419 Views
Yes mpira wetu niwa kipekee sana, mashabiki wa nchi hii ni watu wa Pekee kabisa Nikiri hili, mpaka huu usajili unakwenda tamatika hakika tutasikia na kuona mengi sana. Niseme hivi Simba kama...
16 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo Try again amewaahidi tena Simba kuwa msimu ujao hawatakuwa wanyonge, ni kama alivyoahidi kwenye Mkutano Mkuu wa Simba kuwa Ubingwa msimu huu ni wetu halafu kila mtu anajua kinachoendelea. Mna...
0 Reactions
8 Replies
836 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Hii ipo Dunia nzima pale ambapo timu imefikia matarajio ambayo hawakuyategemea ghafla. Monaco ya 2016, iliyokua na Mbappe, Bernado Silva, Fabinho, Falcao, Bakayoko, Benjamin Mendy, Moutinho nk...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Yes halina shaka hili, ukitaka kuprove hili angalia tetesi za sajili zinazoendelea kwa sasa. Ushajiuliza kwanini hakuna timu hata moja japo imetania tu kutaka mchezaji wa Simba; ziwe na ndani au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchema amesema marekebisho ya ada mbalimbali za Serikali na tozo za wakala wa Serikali yanayofanywa ni utekelezaji wa Mwongozo Mpango wa Uboreshaji wa...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya Taarifa ni kwamba , Ndugu Vunja Bei hakuwa mkweli kutangaza kwamba Jezi mpya za Simba zimeisha , alificha ili leo aziuze kwa Bei mbaya . Inasemekana leo jezi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
WAKATI wanachama na mashabiki wa Simba wakianza kusahau machungu ya pilikapilika za kugombea jezi mpya za klabu hiyo, mwenye dili na uzi za Simba, Fred Ngajiro ‘Vunjabei, amevunja ukimya na...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu ni wakati wa kufanya biashara kwa Klabu ya Young Africans SC. Lomalisa amethibitisha kuwa ni mchezaji wa kusumbua kwenye Ligi tu na sio kwwenye michuano ya CAF. Uza Lomalisa leta, Attohoula...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
[emoji599] EXCL: Mabosi wa Yanga wamepigwa na butwaa, baada ya beki Joyce Lomalisa [emoji1078] kupeleka maombi ya kuvunja mkataba. Inaelezwa mezani kwa Lomalisa kuna ofa kubwa ikiwamo ya Azam FC...
7 Reactions
76 Replies
8K Views
Endapo Simba itamsajiri kipre Jr na Ndala kutoka Azam itapendeza sana. Kumbuka Kipre Jr ni winga ya kushoto huku Sakho nae akikimbiza winga ya kulia itakuwa balaa. Ndala yeye anakaa pale katikati...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga...
21 Reactions
61 Replies
5K Views
Kuna Wachezaji watatu (siwataji) nimethibitishiwa na mtu wa ndani kuwa watasajiliwa na nimetumia siku tatu kuwatizama mmoja mmoja kwa utaalam wangu wa mpira na jicho la kuujua mpira na mchezaji...
9 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijui mimi ndio sifuatilii au la. Ila naona promo ya hii mechi ipo chini sana. Nasikia Taifa stars watacheza na Niger tarehe 18/06/2023. Je, ni kweli? Kama ni kweli, tunawatakia maandalizi mema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vunjabei, tunaheshimu sana uwekezaji wako kwa timu yetu pendwa ya Simba, a.k.a team ya wenye akili. Naomba tukukumbushe kuwa, uzinguaji ulioufanya misimu miwili iliyopita imetosha. Masuala ya...
8 Reactions
48 Replies
4K Views
Kapombe asiachwe Stars kwani yeye ni nani, akiwepo tutashinda? Hakuna mabeki nchi hii wanaoweza kucheza nafasi yake, yuko Kibwana yuko Job shida ni nini? Kapombe ni beki mzuri lakini ameniudhi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom