Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sijawahi kuona hii, shida ni nini? Kule mamtoni ni kawaida sana wachezaji kujumuika na wapenzi wao wakati wa kukabidhiwa kombe.
0 Reactions
5 Replies
432 Views
ILE filamu ambayo ilionekana kutoeleweka hatimaye imemalizika kirahisi. Pengine kuliko tulivyofikiria. Ilionekana kama ingekuwa filamu ngumu bila ya kujua nani angekuwa mshindi. Ilimalizika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kawaida kwa kocha yeyote kulinda heshima yake baada ya mafanikio makubwa kwenye carrier ya kazi yake. Kocha Nabi amelifanya hilo jambo kwa uweledi mkubwa sana akiwa na klabu ya yanga, kapata...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Unpopular opinions; Wengi wanaamini Haaland ni mchezaji mzuri sana, ni forward hatari sana, lakini napenda kuwaambia Haaland ni mzigo mzito ndani ya Man City. City wakiwa na Haaland mbele...
4 Reactions
68 Replies
4K Views
Mimi nikiwa mzoefu wa ligi hii ya bongo tangu enzi za akina Prof Madundo Mtambo akichezea Reli ya Morogoro, Jimmy Mored kule Tukuyu na wengine wengi ambao nikiwataja humu ntawachosha kwa sababu...
8 Reactions
47 Replies
6K Views
Timu ya Taifa ipo na imeshachaguliwa ila kwa sasa tumeificha ikiendelea na Mazoezi dhidi ya Niger Jumapili ijayo na hatutakitaja kwa sasa" amesema Rais wa TFF Wallace Karia. Chanzo: Sports...
2 Reactions
6 Replies
889 Views
Wala usipanick kuondoka kwa Nabi, hii ni changamoto mpya kwako, pambana nayo ana kwa ana na wenzio. Bahati nzuri unazungukwa na wataalamu, tafuteni kocha mpya maana hili mlilijua
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Yanga kupitia 'Yanga Sc app' imesisitiza kuwa Kocha Nabi anaendelea kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Hii ni tofauti na uvumi uliosambaa leo hii kuwa timu hiyo inaachana na Nabi. Katika taarifa ya...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwenye tuzo asema kwamba anaumia future yake bila Yanga.
7 Reactions
92 Replies
9K Views
Eti Chelsea wanataka pound 80m kwa ajili ya Mount! Dogo mwenyewe kabakiza less than a year kwenye mkataba wako. Mount mwenyewe sio slick kivile, hajawa bora hivi karibuni.
2 Reactions
10 Replies
868 Views
FCC (The fair competition commission) kwenye mauzo yaliyofanyika ya kuuzwa Singida Big Stars kwenda Singida Fountain gates FC sijaona kabsa sehemu yeyote kama walishiriki huu mchakato wa mauziano...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimemsikiliza msemaji wa Yanga Ali Kamwe akitangaza kwamba Haji Manara ndio mratibu wa safari za Aljeria. Sote tunafahamu kwamba Haji amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka Nimemsikiliza Fei...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwasasa kuna watu wanabaki kusonya sonya tu wengine kutoa visababu vya kujifariji, mara mashindano waliofeli, mara ooh Yanga imecheza na vibonde mara zinaletwa historia za miaka 47 huko lakini...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Kama wewe ni mwananchi njoo tuwashauri viongozi juu ya mambo yafuatayo: 1. Usajili wa wachezaji, je wansajili nani na wamuache nani msimu ujao? 2. Je, kocha yupi aongezwe ambae kwa sasa hawana...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Kocha wa Taifa stars tayali yupo kambini na kikosi chake Ina maana kikosi kimeitwa kimya kimya. Source: EFM radio Kwa Nini wameita kimya kimya wanaficha Nini haswa au Kuna mchezaji Kama FEISAL...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Lionel Leo Messi Vs Erling Haaland
7 Reactions
57 Replies
3K Views
My Take Utopolo ni kikundi cha wahuni
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Nimeona nami Mjukuu wa Chief Hangaya nichangie kidogo katika hili kwani nimeona wachambuzi njaa wengi pamoja na yule semaji lenye mikosi Tanzania a.k.a Popoma la MUM bwana Ahamed Ally Kisauti...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii ndo maana ya timu ya Wananchi....ni mwendo wa tuzo tu Rais wa Klabu Eng Hersi Said Leo amepokea Tuzo Maalum kutoka kwa Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu kwa kuwa Taasisi 𝐢𝐧𝐚𝐲𝐨𝐭𝐚𝐦𝐛𝐮𝐥𝐢𝐤𝐚 𝐑𝐚𝐬𝐦𝐢...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ligi inapanda Ubora, Tuzo banda la video. Kutoka Johari Rotana mpaka kwenye ‘Banda la Video’ pamoja na maelezo ya kujivunia kwamba tunafanya kwenye ukumbi wetu lakini ulipaswa kuwa uliokamilika...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom