Full name: AFC Bournemouth
Nickname(s)
The Cherries
Boscombe
Founded: 1899; 126 years ago (1899) (as Boscombe)
Ground: Dean Court
Owner: Black Knight Football Club UK Limited
Chairman: Bill...
BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu...
Kuna tumu nane mpaka kumi kwenye ligi kuu,haziwezi kyifunga yanga.
Hizo mechi ukizidisha mara mbili yaani home and away ni mechi 20
Ukiweka milioni kila mechi kwa msimu mmoja una sh ngapi??
Sio...
TAARIFA KWA UMMA
Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji...
Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri!
Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo...
Klabu ya Yanga imewapa taarifa Kwa barua rasmi wachezaji wake wawili Clement Mzize pamoja Aziz ki kuwa watakuwa sokoni mwishoni mwa msimu huu
Mzize mwenye miaka 21 ametakiwa na club ya Wydad...
Zamalek amekula chuma tatu kama amesimama na bao la kwanza ameweka Mayele mtu mbadi.
Pyramids wanaendelea kuongoza Ligi Kuu Misri mbele ya Al Ahly.
Kama nilivyosema mkisikia Pyramids wamechukua...
Huwa tunajiuliza kwanini Tatu Malogo, Amina Kyando hawa mabinti Huwa wanapewa mechi za Simba?
Licha ya kufanya makosa ya kujirudia lakini Huwa bodi ya ligi haikomi kuwapa michezo ya Simba
Hawa...
Kampuni ya StarTimes Tanzania inayouza King’amuzi cha StraTimes, imetangaza kuwa, imepata haki ya kuonyesha michuano ya Kombe la Dunia ambayo itafanyika mwakani nchini Urusi.
Hayo yamesemwa na...
Wakati kukiwa na mijadala kuhusu wachezaji wa ligi mbalimbali za soka nchini kuhusika katika michezo ya kubashiri (betting) na kupanga matokeo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefichua kuwa...
The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT.
Live...
Amejiona kama amekuwa wa kawaida sana na umri unamtupa mkono. Kwa sasa anatafuta mlango wa kutokea. Tulimchukua atusaidie kimataifa kama ambavyo alishawahi kuisaidia Simba mara mbili kuwavusha...
1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans
2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakimmowa na Simba SC
3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji
4. Kiungo...
Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.
Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali...
Karibuni katika Matchday 5 Kati ya Al Hilal Omdurman' na Yanga katika dimba la Stade de la Capitale lililoko mjini Nouakchott, Mauritania, mechi hii itachezwa saa 4 usiku kwa saa za Africa...
Kwasasa nchini Morocco kuna hafla ya upangaji wa makundi kwaajili ya michuano ya AFCON 2025.
Ungana nami kujua Tanzania tutapangwa na nani?
Tukio lipo mubashara Azamtv na DStv...
[emoji599]Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu...
Leo tunaambiana ukweli.
Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua...
KenGold walitaka saini ya Benard Morrison, jamaa akawapa sharti moja, lazima wamsajili na mdogo wake ambaye hajawahi kucheza Ligi Kuu na hawezi hata kupiga danadana tano.
KenGold nao wameingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.