Nikifuatilia ligi kuu ya Uingereza naona matimu makubwa kama Man utd, Chelsea, Man City , Arsenal nk yanavyoteseka bila kujali ukubwa wao kwa wingi wa Mashabiki na Fedha .
NImegundua wenzetu wa...
Sioni kama tunatafuta mbadala ya hawa group stage failure. Wanasubiri tu waje kushindana na teams kama GOPCO waoneshe ufundi wao. Na Singida big stars, Ihefu, na JKT au DODOMA JIJI.
Huku...
Ni dhambi kuisema laana hadharani?
Kila mshirika wa moja kwa moja CCM, anasitahili laana
Kilichotokea leo ni matokeo ya viongozi wa Yanga kushiriki vikao na waliokataliwa na Mungu na wao...
Morocco imechaguliwa kuwa Makao Makuu ya Chama kipya cha vilabu vya Afrika kinachoongozwa na Eng.Hersi Said.
Baada ya mchakato wa ushindani wa zabuni uliohusisha Afrika Kusini, Morocco, na...
Habari zenu humu ,wale wapenzi wa DRAFT ,ilifanyika ligi ya MABINGWA wa draft unaowajua wewe hapa TZ ,pale Java Lounge
Bingwa aliibuka dogo SISCO
Mashindano yalianza na hatua za makundi
Katika...
Mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Victor Boniface ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermin wa Norway, baada ya miaka minne ya uhusiano. Kuvunjika huko kulichangiwa na kutoelewana kuhusu masharti ya...
Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu.
Leo tunashinda. Ubao...
Kupitia mitandao yao ya kijamii, Yanga imetangaza kwamba wamepata misiba miwili ya mchezaji wake mmoja na kocha wao kupoteza wazazi wao.
Katika kumbukumbu zangu za haraka, hii ni baadhi ya misiba...
Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi
Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi...
Leo umechezwa mchezo wa Fainali wa Bonanza la Kumbukizi ya Kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia katika dimba la Nelson Mandela Wilayani Sumbawanga ukizikutanisha timu ya...
Beki wa Tanzania anayecheza nchini uturuki akiwa na timu ya Goztepe SK, Novatus Dismas Miroshi amefaulu kujinasua kutoka kifungo cha kukalia benchi na kuanza kuaminiwa kuanza.
Leo amefunga goli...
Kila mwenye akili timamu lazima ajiulize chanzo cha ukwasi wa timu ya Singida Black Star
1. Hii timu inamilikiwa na nani? Mbona boss yupo kwenye mabano, ingekuwa kama Azam ya tajiri Bakhresa, Ken...
Kipande cha Sheria ya Uraia
Second Schedule (Section 9(1))
Conditions for citizenship by naturalisation
1. Subject to the provisions of the next following paragraph, the qualifications for...
Kocha wa yanga Side azungumzia jinsi walivyojipanga kuzichabanga teams nyenzao itakazokutana nazo katika Kombe la Shirikisho la CRDB. Kocha amezungumzia umuhimu mkubwa wa kombe hilo na jinsi...
Mzize bado anajitafuta haujafika anakokwenda. Ana duka la nguo ambalo lilikuwa halibagui wateja lakini sasa bundi (Ally) kaenda kuligeuza liwe duka la kijana liwe la Yanga na wanayanga tu. Ally...
Leo Yanga tumemfunga Capco goli 5
Lakini mtani amenuna eti Capco kavunja record yake ya kufungwa 5na Yanga
Simba alifungwa 5 hataki timu nyingine ifungwe goli 5
Mechi ijayo tutawafunga 10
Match Day
Leo, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akicheza na Kilimanjaro Wonders, mechi raundi ya tatu CRDB Bank Federation Cup.
Mnyama amesema mechi hii ni ya kuwapongeza wachezaji...
Mzuka Wanajamvi!
Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.
Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.