Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Waswahili husema "avumae baharini papa, kumbe wengi wapo". Msimu huu nasi tumo, hatujikongoji bali tumo!. Tottenham Hotspurs F.C wengine upenda kufupisha kwa Tottenham au Spurs, Timu ya England...
7 Reactions
2K Replies
150K Views
Manula, kaa sawa Camara anapata uraia, Taifa Stars utakalia mbao tu( Bechi)
1 Reactions
41 Replies
1K Views
Mtaalamu wa michezo ya igaming David Natroshil aliyebadili kabisa mwelekeo wa michezo ya igaming casino Duniani. Mwaka 2017 alifanya ugunduzi mkubwa baada ya kigundua na kutengeneza program ya...
7 Reactions
11 Replies
761 Views
Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie. Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe...
7 Reactions
9 Replies
598 Views
Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa Viongozi Murtaza Mangungu ni Kirusi na Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ni Mtu wa Kuuza na Kupenda mni 10%? Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa...
18 Reactions
34 Replies
5K Views
Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi...
2 Reactions
40 Replies
926 Views
Katika mahujiano yake na global tv online mchezaji benard morison amemuomba rais samia ampe uraia wa tanzania kwani anajisikia amani na kuthaminiwa sana nchini. pia amesema yupo tayari kuchezea...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mercedes Benz ilimpa Lewis dola milioni 100 kwa miaka miwili na akakataa offa yao. Mercedes Benz, ikagoma katukatu kumpa Sir Lewis Hamilton nafasi ya ubalozi. BONGE LA MISTAKE! Ferrari haikumpa...
5 Reactions
17 Replies
701 Views
UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Baada ya wachezaji wanne wa Klabu ya Singida Black Stars kupatiwa uraia wa Tanzania, Klabu ya Simba nayo imetuma maombi rasmi ya kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni ili wapatiwe uraia wa...
15 Reactions
67 Replies
4K Views
Habari wadau nauliza tu droo nilini mbona kimya. == Kwa sasa, Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) bado halijatangaza rasmi tarehe za droo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Maisha ya soka hapa Tanzania yamejaa maswali mengi sana.Unaweza ukafikiri mpira ni kipaji,uwezo,nidhamu na kujituma sana katika mazoezi.Kwa hapa Tanzania jibu ni lah! Watanzania wengi wakiwemo...
2 Reactions
8 Replies
448 Views
Crescentius Magori, ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, ametoa ufafanuzi muhimu kuhusu mchakato wa kubadilisha uraia ili wachezaji waweze kucheza katika Timu ya Taifa ya Tanzania...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Acha na vigezo vingine kutoka FIFA Wachezaji wanaobadili uraia ni makapi yaliyotemwa Africa Magharibi ambao hata hawatambuliki kama wanafanya kazi ya kucheza mpira labda mataifa Yao wanajua ni...
2 Reactions
3 Replies
377 Views
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Ningependa mbumbumbu wanaoicheka Yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali klabu bingwa wanitajie timu ambazo zingeweza kuipa Yanga hii changamoto yoyote Ile kwenye kombe ilo walilopo la...
4 Reactions
147 Replies
3K Views
https://www.instagram.com/p/DFLD6mztR0c/?igsh=dGl4M2Fvd2E2a3dx Soma: Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wapinzani wa Simba wamekua wakiumia sana Kwa mafanikio yenu katika michuano ya Kimataifa. Wameumia sana kutolewa hatua ya makundi. Wameumia sana Kwa Simba kufuzu kuingia robo fainali. Wapo kati...
9 Reactions
13 Replies
791 Views
Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba...
2 Reactions
17 Replies
843 Views
Wakuu nadhani siyo jambo la kawaida uraia kutolewa kwa wachechezaji wa kigeni,ilianza kwa Singinda Big Stars sasa nasikia Simba nao wachezaji 9 wanaomba uraia. Nimewaza tu je huu sio mpango kweli...
0 Reactions
8 Replies
295 Views
Back
Top Bottom