Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nitafurahi sana kwani kwa Kipindi hiki huo Wimbo unavutia sana Kuuimba hasa ukizingatia anayeona Wivu baada ya Wiki Moja na Nusu ijayo atakuwa Mkoani NBC Premier League halafu yule Mkali wa...
7 Reactions
19 Replies
471 Views
Wakuu habari, Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
1.Simba SC vs StellenBosch 2.RSB Berkane vs Asec 3.USM Alger vs Al Masr 4.Zamalek vs CS Constantine. My Take Tunza huu Uzi. https://www.instagram.com/p/DFCJeDiMN_I/?igsh=aWtjdHdob200dTUy
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Sead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki w
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Kwa kuwa Yanga wanayaona mashindano ya shirikisho ni madogo Sana kwao, Kwa Sasa kama pointi Yanga walizopata kwa kuingia fainali ya Kombe la shirikisho Afrika zikitolewa, Yanga itabakiwa na point...
5 Reactions
23 Replies
724 Views
Viongozi hatuna cha kuwalaumu kwa kweli. Soup walitupa na tickets walitupa. Tume fail wapi sisi? Inaumiza sana. Sisi tutakuwa wakuishia Makundi kila mwaka mpaka lini?
1 Reactions
7 Replies
400 Views
Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic, najua humu kuna watu washawahi kuishi au kufatilia any news kutoka South Africa. Nimeshangazwa na baadhi ya waafrika kusini kumtambua...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Wadau poleni na kazi. Nilikuwa nauliza droo ya shirikisho na club bingwa itafanyika lini hatua ya robo. Uzi tayari. Kwa wanauto kaeni kwa kutulia.
0 Reactions
7 Replies
689 Views
Kweli Uturuki hawaongopi, Demba Ba, straika wa zamani wa Chelsea na Newcastle kwasasa ameotesha nywele na anaonekana kijana. Mnamkumbuka straika huyu?
5 Reactions
6 Replies
503 Views
Maisha yanaenda kasi sana. Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM. Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Mzee Hassan Dalali nadhani ni darasa la saba B lakini aliongoza Simba kwa ufanisi wa hali ya juu sana na ndio muanzilishi wa Simba Day. Tamasha linalikua na kuigwa na vilabu kila mwaka Nimeanza...
19 Reactions
109 Replies
5K Views
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰 🏆 TotalEnergiesCAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚TP Mazembe 📆 04.01.2025 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 4PM (EAT) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko 05’ | #CAFCL Yanga SC 0-0 TP Mazembe 25’ |...
30 Reactions
902 Replies
33K Views
Bodi ya ligi imepanga maboresho ya ratiba ya ligi kuu NBC, huku ikiipa Derby ya Kariakoo tarehe 8 March Simba pia atarudiana na Azam tarehe 24 March katika Mzizima derby, huku Yanga wakirudiana...
1 Reactions
6 Replies
492 Views
1. JUDE VICTOR WILLIAM BELLINGHAM 2. LAMINE NASRAOUI YAMAL EBANA 3. PHILP WALTER FODEN
1 Reactions
18 Replies
364 Views
Najua tokea urejee katika Ziara zako nchi za Nje na kuwa Huru kutoka katika Adhabu yako na TFF ila kwa sasa umekuwa Ukiilaumu mno Yanga SC na hasa Kumlaumu Swahiba wako Rais wa Yanga SC Injinia...
13 Reactions
42 Replies
5K Views
Tukiachana na kombe la shirikisho ambalo ndio Yanga wamewahi kupata mafanikio makubwa ya kufungwa fainali klabu hii ya Yanga haijawahi kuwa na mafanikio wala ubora wowote ule kimataifa Yanga...
6 Reactions
35 Replies
834 Views
Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom