Wakati ligi mbalimbali zikielekea mapumziko, miongoni mwa ligi hizo ni NBC premier league ya 6 Kwa ubora Africa ....jambo ambalo limefanikishwa sana na Yanga since Yanga imeplay part kubwa...
Yanga inapaswa tubadilike
Haya maisha ya kutegemea kuvuka robo kwa point chache tunapaswa tuyaache.
Hata msimu uliopita yanga tulivuna point 8 tu kwenye group stage.
Makundi yote hakuna timu...
Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi.
Ninetafakari sana,haitatokea...
Juma Ally Magoma ameuonya uongozi wa Yanga kuingilia kesi yake dhidi ya bodi ya wadhamini wa klabu ya Yanga akisema kitendo hicho ni hatari kwani yeye alishitaki bodi ya wadhamini ambayo sio kosa...
Mzee Magoma akihojiwa leo amenukuliwa akisema Yanga slow pancha ilianza muda mrefu.
Mzee Magoma ambaye amesisitiza kua yeye ndio DAKTARI anayejua namna yakuitibu Yanga..
Kasema na kuwaasa...
Yanga ina uhusiano wa karibu na wa kihistoria na CCM (ASP+TANU), Kucheza na Yanga ni kucheza na CCM na kucheza na CCM ni kucheza na serikali na kucheza na serikali ni kucheza na Moto wa makaa ya...
Muwe na siku njema wananchi , kuna uwezekano wanaomuelewa huyu Mzee ni wale Wawili.
Mzee Juma Magoma baada ya kushindwa kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza...
Wakuu kurujuni imeanza kazi,
Kuna wahuni wamejimilikisha timu ilihali wamekuja mjini juzi. Mzee Magoma hayupo peke yake rudisheni timu kwa wenyewe mambo yakae sawa.
PIA SOMA
- Vipi tayari Mzee...
Fundi wa mpira winga machachari ameanza mazoezi na wachezaji wenzake leo hii!
Hilo balaa alilolifanya si powa. Huyu jamaa anajuwa ball kinoma
Kata Tiketi Mwananchi Tukutane Kwa Mkapa Jumamosi
Waamuzi wa Tanzania ndio wanachezesha mechi ya shirikisho ambayo imeanza saa nne kamili kati ya RS Belkane vs Stellenbosch.
Mwamuzi wa kati-Ahmed Arajiga
Wasaidizi:
Salimu Mkono Mohamed
Seif...
... Makosa yalianza baada ya preseason. Wachezaji waliishiwa pumzi ghafla wakwa wanashinda kwa kubahatisha bahatisha tu -kagoli kamoja kamoja, na wawalipoanza kufungwa ndipo michezo ya CAF ikaana...
Hesabu za kutoa na kujumlisha ni ziliwafanya familia nzima kutembea na calculater lakini matokeo yake wamefeli mtihani kimataifa.
Mwalimu wao anasema eti wanafunzi wake ni vilaza kwa vile...
Habari wana jukwaa...
Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali.
Yanga...
Huo ndiwo ukweli.
Ukiwasikiliza hasa Idara ya Ali Kamwe, kutwa kujigamba na wazi unaona ni watu wanao penda sifa za kijinga na zisizo dhahili.
Mpira wa miguu siyo rede ama kwaya, bali ni Sayansi...
Kwa mujibu wa Caf 5 year ranking system, kwa sasa Simba ikiwa nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13 kutokanq na alama walizovuna miaka mitano iliyopita, hivi ndivyo hesabu ya jumla ya alama...
Kocha wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi alikuwa hapa nchini kwa siku mbili kisha kufanya vikao na mabosi wa Yanga aliowahi kufanya nao kazi kwa mafanikio lakini amewaambia mabosi hao kuwa anaamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.