Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"MASHABIKI WA SIMBA MSIKUBALI KUINGIZWA KWENYE MAPRESHA YASIYO NA SABABU. Mafanikio ya mpira huwa ni process vinginevyo labda iwe fluku. Kwenye mpira fluku ipo. Ligi ya Uingereza Leicester...
5 Reactions
9 Replies
700 Views
I salute you kinsmen. Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga Yanga atashinda goli 4 Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja, Simba watakandwa 3-1 Goli moja la penati...
6 Reactions
71 Replies
2K Views
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi...
4 Reactions
63 Replies
2K Views
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC Ahmed Ally leo January 20,2025 ameamua kulipamba gari lake msimamo wa Kundi A alilotoka Yanga SC Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na lengo la...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Na za ndani zaidi zimeendelea kusema kuwa Maelewano ya Kocha Mkuu wa Yanga SC ambaye wan Simba SC wamembatiza Jina la Uswazinyo / Uswahili Saidi Ramadhani na Pacome sasa si mazuri. Pacome...
3 Reactions
11 Replies
661 Views
Vua maski kaka tushakujua wew ni Joshua Mutale Elie Mpanzu kabaki kongo [emoji28][emoji28] Jamaa alikuja Kwa mbwembe ...Hadi BBC walimpost. .makolo waliimba jina lake kama hawana akili.....but...
0 Reactions
29 Replies
734 Views
[emoji599] 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Top 𝟏𝟎 CAF club rankings before the start of the 2023/24 CAF Champions League and Confederation Cup group stage games: 1. Al Ahly [emoji1093] — 83 points. 2. Wydad AC...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama...
7 Reactions
191 Replies
6K Views
Pray for Pep Soma pia https://www.jamiiforums.com/threads/pep-guardiola-aachana-na-mkewe-baada-ya-miaka-zaidi-ya-30-kuwa-pamoja.2297069/
9 Reactions
84 Replies
3K Views
1. Al Ahly — 73 points [emoji1093] 2. Esperance Sportive de Tunis — 57 points [emoji1249] 3. Mamelodi Sundowns — 52 points [emoji1221] 4. Zamalek SC — 42 points [emoji1093] 5. Wydad Athletic Club...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri...
1 Reactions
90 Replies
2K Views
Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa
1 Reactions
5 Replies
319 Views
Leo hii KIBU D kawa mchezaji Bora kabisa katika Klabu yetu.kawa muokozi,mleta faraja,mkombozi na mfunga magoli muhimu. Lakini Kibu huyuhuyu miaka miwili iliyopita hakuna tusi aliacha kutukanwa...
6 Reactions
10 Replies
380 Views
Huu ndo ukweli ulio wazi. Ile circle ya mafanikio kwa Wananchi inaenda kutamatika msimu huu. Timu haina mbinu mbadala, ukizuia zile pass mpenyezo basi hawawezi kupata bao. Msimu huu tujiandae...
29 Reactions
173 Replies
4K Views
Chama bado Ana uwezo na kipaji kikubwa tu, Simba ilimleta nchini akiwa mchezaji wa kawaida sana, ufundi wake uwanjani ukaipa sana heshima timu yetu, Chama alikaa mioyoni mwetu sana wana Simba...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Kuna muda GENTAMYCINE japo najulikana na sifichi kuwa Mimi ni mwana Simba SC kwa 100% huwa naweka pembeni Utani wangu kwa Yanga FC na kuwa Mkweli na Mwanamichezo ila wana Yanga FC Walioanza...
1 Reactions
8 Replies
388 Views
Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
5 Reactions
28 Replies
708 Views
Wakuu, Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na...
5 Reactions
78 Replies
3K Views
Back
Top Bottom