Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024. Katika Takwimu hizo Klabu ya...
0 Reactions
55 Replies
2K Views
You cannot appoint politicians to manage football - Okocha I owe the NFF no apology, politics should not be played in football. The running of the country's football administration by...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu Kwema? Naandika haya baada ya kunikuta issue moja hivi. Pale panapotokea matatizo ndipo akili inapochaji zaidi. Leo mchana nikiwa Ofisini nikatengeneza mkeka mmoja niliouona ni matata...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Umetoka Uwanjani na kama kawaida Waandishi wa Habari wanakufuata Kukuhoji unawatisha kwa Kuwaangalia kwa Macho makali huku Unazuga unakunywa Maji wakati hata Kiu chenyewe ulikuwa huna. Na...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031? Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila...
8 Reactions
146 Replies
10K Views
Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa...
16 Reactions
80 Replies
2K Views
IFFHS ni shirikisho la Historia na Takwimu Kwenye mpira wa miguu ambapo Kwa kirefu ni International Federation of Football History and Statistics, Shirikisho hili lilianzishwa Mwaka 1984 na...
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe "Ahmed Ally anaomba usiku na mchana kocha wetu afukuzwe. Tangu jana nimemuona akifanya Media Tour kwenye vyombo mbalimbali vya habari, lakini yeye ndiye anayetakiwa...
0 Reactions
11 Replies
770 Views
Mimi kama mwanachama wa Yanga. Siridhishwi na kiwango na mbinu za coach Saed Ramovic Huyu alitakiwa awe coach msaidizi apate uzoefu Sijui Eng Hersi ulimchukua Kwa wasifu gani Mapungufu yake 1...
10 Reactions
67 Replies
1K Views
Vitu vya kuchambua vipo vingi, kama umeshindwa kuchambua soka nenda kachambue mchele
4 Reactions
9 Replies
724 Views
#MICHEZO: Novak Djokovic anazidi kuifukuzia ndoto ya kushinda taji la 25 la Grand Slam baada ya kufanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya wazi ya Australia Australian Open. Djokovic...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Achana na utabiri wa mtumishi. Hii clip imenisaidia kutafakari tena, nini huwa sababu ya Yanga kuwa na kiburi. Kuanzisha mashabiki mpaka viongozi. Ukisikiliza mashabiki ni kiburi, wengine wakasema...
4 Reactions
11 Replies
568 Views
Wakuu CAF yaifanyia Ubaya Ubwela Simba SC == Timu ya Simba Sports Club imeamriwa kucheza mchezo mmoja bila mashabiki na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kufuatia vurugu zilizotokea Uwanja wa...
20 Reactions
272 Replies
10K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni...
4 Reactions
197 Replies
15K Views
Mtandao uliotoa takwimu na kusema Tanzania inashika nafasi katika ligi tano Bora Afrika bila kujali Kigezo walichotumia huenda takwimu hizo zilisukumwa na aidha kutokuwa na taarifa sahihi kuhusu...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Huyu Saed Ramovic hana tofauti na aliyekuwa kocha wa Simba Benchika, alipokuja alikuwa anaponda wachezaji na ligi yetu. Mwisho wa siku akaamua kuondoka na akawachukua wale wachezaji aliokuwa...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom