Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na...
Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.
Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko...
Vaibu la mashabiki wa Simba Mwembeyanga, Ahmed Ally achizika wakimkanda CS Constantine bao 2-0 na kuongoza kundi A kwa kufikisha alama 13.
Soma, Pia: FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine |...
Ewe mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, mwenye majina tisini na Tisa, ulisema niombeni nitawapa, sisi tunakuomba utujaalie ushindi leo uwanja wa Taifa dhidi rangi ya mitume.
Sisi sio wale...
Bado game nne timu ya mkiani inaweza kuchukua kombe na inayoongoza kushuka daraja, point 11 zinatenga timu ya kwanza na ya mwisho ......
The Algerian Premier League title race is ridiculously...
Manchester United imemfuta kazi kocha Erik ten Hag kufuatia mwanzo mbaya wa msimu wa 2024/25. Klabu hiyo, maarufu kama The Red Devils, ipo nafasi ya 14 katika msimamo wa Ligi Kuu ya England baada...
Timu ya Yanga Wakereketwa ya huko Wilaya ya Sengerema imefanikiwa kuingia robo fainali ya Kafulila Cup baada ya kuifunga timu ya MC Gara B FC goli 4-0.
Pichani, wachezaji wa Yanga wakishangilia...
Hersi alimleta Haji Manara ndani ya Yanga kwa ahadi ya kumheshimu na abadani hatomkosea adabu.
Ajabu, Hersi ghafla akanogewa na vitoto vilivyoletwa mjini na Manara na mbaya zaidi akaviruhusu...
Mimi kama mwanachama wa Yanga
Nawapongeza viongozi, wachezaji, Wanachama na mashabiki
Yanga ni timu Bora katika ukanda huu wa CECAFA, ndio timu pekee iliyokuwa ikishiriki mashindano makubwa ya...
Kwa Tathimini Yangu haya ndio mambo 10
1.Algers walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha kwanza.
Walipaki basi na Yanga wakashindwa kupress backline ya Algers.
2.Yanga hawakucheza kama team...
Yanga ni timu bora sana, tumeshindwa kufuzu robo fainali Klabu bingwa Africa sababu ya kupoteza kizembe mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya Al Hilal na baadae kufungwa ugenini na Mc Alger hivyo...
Siku droo ya makundi inapangwa,mitaa ya Twiga na Jangwani ilifurika watu wakifuatilia mubashara,
Baada ya kushiba supu walisikika wahuni wakitamba kuwa ''tunamtaka Mamelodi,tunamtaka Mamelodi''...
Kwa sasa Yanga inarudi kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Copco ya Mwanza katika hatua ya 64 Bora sambamba na kusubiri kuanza kwa ngwe ya pili ya Ligi Kuu ikianza na kiporo dhidi...
Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.
Msimu huu kuna mambo kadhaa...
Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye...
Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi.
Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.