Mchezo umeshaisha. Simba akishinda leo nipigwe ban ya Siku 3. Sioni hawa madogo wa mikia wakishinda. Sioni kila nikiangalia naona wamejawa na kipigo tu na hamna team pale.
Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune.
Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya:
Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana
wakituhsmbulia...
Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi.
Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo...
Wenzetu wamepigana pini wao kwa wao, uwanja wameshauchafua kwa mipango yao ya nje, naomba mtupe kazi kesho asubuhi tubebe mafagio na dawa zetu tunazozijua wenyewe tukausafisha uwanja ule ili aibu...
Huyu mwamba ndani ya miaka minne pale Azam amefunga jumla ya magoli 34, ikiwa ni wastani wa magoli 8 kwa msimu
Ni mshambuliaji tuu wa kawaida sema media tuu zilimkuza bila sababu
Hivyo...
Mkongwe wa mchezo wa ndondi, Mike Tyson ambaye ana umri wa Miaka 58 inadaiwa anafikiria kurejea ulingoni kupigana baada ya kupoteza pambano dhidi ya Jake Paul (28) iiwa ni mara ya kwanza baada ya...
Baada ya timu yao kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Fulham ikiwa ni mchezo wao wa 7 mfululizo kupoteza katika Premier League, mashambiki wa Leicester City wamemgeukia kocha wao, Ruud van Nistelrooy na...
MSHAHARA WA ERLING HAALAND NDANI YA MAN CITY
Thamani ya Mkataba Jumla £260,000,000 (Tsh. Bilioni 798.6)
Kwa Mwaka £26,000,000 (Tsh. Bilioni 79.8)
Kwa mwezi £2,166,666 (Tsh. Bilioni 6.6)
kwa...
Katika Historia ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga Ina Historia yake mwanana ambayo Simba haijawahi kuifikia.
Kwenye matokeo ya kufunga na kufungwa magoli mengi kwenye mashindano ya...
Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
Nimehuzunishwa sana na kitendo cha shabiki wa Yanga kumtandika ngumi ya uso mwanachama wa Simba Doctor Mohamed akiwa anahojiwa na chombo cha habari, shabiki huyo aliyekuwa amefuatana na Ally Kamwe...
Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani.
Pamoja na jitihada kubwa walizofanya...
Hizi ni koo mbili tofauti kabisa zenye vipawa visivyolingana kabisa.
Ukitaka kuwa maarufu bila ya umaarufu, nenda Yanga ukasifiwe hadi ujione wewe ndiyo wewe.
Ukienda Simba utapata mafanikio...
Hii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers.
Kuna watu wamewapa mchongo wote hawa...
Yani timu yetu bado haijakaa sawa hakukuwa na ubunifu eneo la mbele timu hata ingecheza dakika 200 bado tusingefunga.
Yanga tunapotezaje nyumbani mbona mnatupa maradhi jamani yani tunashindwa...
Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa...
Wakuu Baada ya kuona makolo wanalia Lia kuwa Kuna muamko mdogo wa michango kutoka mkwa makolo wavunja viti .....
Kulingana na kupenda soka nimeona nichangie kiasi kidogo Cha laki Saba 700,000 Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.