Wakuu, habari zenu?
Nianze kuunga mkono kwa Yule ambaye atasema "Bara la Africa limelaniwa" pasipo na shaka Wala dukuduku lolote kutoka moyoni yupo sahihi.
Hii haiwezekani hizi hujuma ambazo...
Wazee wa vichaka hauwasikii tena wakiongelea habari za kubeba mafyekeo. Kelele zilikuwa kwa ajili ya kujaza watu uwanjani, zoezi ninalosikia halikufanikiwa. Wamekwenda machakani, wamekuta vyura...
FT: 0-0
Takwimu
Possession:
Hapa Yanga wali-dominated umiliki wa mpira kwa asilimia (69%) wakati MC Alger (31%).
Mashuti:
Yanga walikuwa na mashuti 18 wakati MC Alger's 3, Lakini hakuna...
Huyu jiniasi aliyefikiria kwenda kuweka screen ya mechi ya Simba vs Constantine uwanja wa Mwembeyanga ujiniasi wake ni levo za kina Newton na Einstein, tumlinde kwa wivu mkuu sana.
Uto tumekuja...
Habari wadau
Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana.
Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana
Engineer amebadilika...
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.
Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,
Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
Ukiwa umecheza Mpira au unajua Kuuchambua Mpira au umesomea Ukocha basi nina uhakika wa 100% kuwa utanielewa GENTAMYCINE kwa hili ANGALIZO langu Tukuka kwa Yanga SC kuelekea Mechi yao muhimu na ya...
Nimeona mtu mtandaoni kapost kitu halafu watu wamemchapa maswali kisha kashindwa kujitetea.
Post yake ni
Rekodi muhimu Yanga akishinda 18.01
• Kuingia top 5 ya vilabu bora Afrika
• Timu ya...
Wawekezaji tumefurahi yanga kufumuliwa hatua ya makundi Ili nguvu zote azielekeae ligi za ndani Ili tuanze kupiga minotii japo Leo nimepata ya supu ila pia nimefurahi yanga kutolewa pia ila kazi...
Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.
Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo...
Habari za saizi aise,
Naombeni kwa anajua vizuri CV ya huyu engineer atuambie
1. kazaliwa wapi na lini?
2. Anaasali ya Somalia /Eritrea au Ethiopia?
3.Yeye na mmiliki wa GSM (ghalibu said)...
Wakuu kesho kuna mchezo wa kukata na shoka baina ya Yanga sc vs mc alger, sasa katika dodoso zangu nimemuuliza mtaalamu mmoja kutoka unguja amenijuza mpaka sasa kwa yeye anavyoona ubao unasoma ni...
Baada ya kuangalia michuano yote based on. Stiffness/ ugumu .na ubora wa wachezaji na ukamiaji wa timu na timu/ udhaifu wa michuano ya shirikisho mbele ya club bingwa
Leo wachambuzi tumekuja ku...
Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10.
Timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.