SIMBA [emoji881] WAPATA HASARA MILIONI 638[emoji736]
Klabu ya Simba imeingia hasara ya zaidi ya Shilingi Million 600 kutokana na baadhi ya mashabiki wake kufanya fujo na kung'oa viti kwenye mechi...
I salute kinsmen
Kwa sasa Africa mashariki na kati na pengine Africa nzima inaeleweka wazi hakuna beki wa kati kumzidi kitasa Dickson Job!
Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana
Composure ya hali ya...
Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno.
Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare.
Kuhusu...
Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike.
Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo...
Tarehe kama ya leo (16 Januari, 2024) klabu ya Simba ilifanikiwa kupata saini ya miaka miwili ya mshambuliaji Pa Omar Jobe raia wa Gambia akitokea klabu ya FC Zhenis inayoshiriki Ligi Kuu nchini...
Simba imeadhibiwa kwa sababu yetu sisi mashabiki, sio kosa la uongozi wala nn, japokuwa tunaamini kuwa Caf wametuonea lkn hakuna namna tena, lazima tulipe dola efu 40,000.
Ndugu yangu shabiki...
Kiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari...
Tajiri dewj usione aibu kutuomba tuongezee tulichonacho ili timu isajili vizuri tuko tayari kuichangia timu
Hizo kelele na kebehi za mashabiki wa Yanga usizingatie sisi tuko tayari kuichangia...
DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni 𝐉𝐨𝐧𝐚𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐈𝐤𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
Chanzo: habarileo_tz
Na nasikia Wakala wa...
Nimechunguza mashabiki wa hizi timu Simba na Yanga kichwani kama zimepungua Fulani hivi na wamepigwa na maisha sio poa.
Mfano Yanga ilipoingia fainali kwenye kombe la shirikisho Kuna jamaa...
Mchezaji aliyekuwa akicheza AS Vita club na timu ya taifa ya Congo DRC kama winga ya kulia, Jonathan Ikangalombo Kapela ametua rasmi kwa wananchi, Young Africans SC.
Soma Pia: Tetesi za usajili...
Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔
==
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa...
Ndiyo, adhabu ambayo CAF wameipiga Simba ikiwepo ya pesa na kutoingiza mashabiki inauma na hakuna mwanasimba aliyeifurahia.
Ni muhimu tukakumbuka kuwa Simba si timu ya kwanza kupewa adhabu hiyo...
Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa...
Viwanja mbalimbali kwenye mikoa Tanzania na maeneo ya muhimu yanamilikiwa na CCM kitu ambacho kinatilia mashaka Kwa utawala wa nyuma ambapo Nchi ilikua hauwezi hata kujenga viwanja vya mpira CCM...
Habari za wakati huu ndugu zangu?
Leo nimekuja kwenu kwa anayefahamu taratibu za kusajili tawi la Yanga. Ningependa kujua hatua kwa hatua. Yaani vigezo na masharti, ada za usajili na mambo mengi...
Beki wa Yanga, Kouassi Attohoula Yao atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi kisichopungua wiki nne na kisichozidi wiki sita baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na enka.
Hayo yamebainishwa na Ofisa...
Imeelezwa kuwa Klabu ya Real Madrid imekata tamaa zoezi la kumsajili beki wa pembeni Trent Alexander-Arnold kutoka Liverpool katika Dirisha Dogo la Usajili wa Januari, hiyo ni baada ya ofa yao ya...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.