Sijui ni kwanini.
Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba.
Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue...
Za ndani kabisa ni kwamba agizo imetolewa uwanja wa KMC kufanyiwa marekebisho kwahiyo timu zinazotumia huo uwanja zitafute viwanja vingine vya kutumia.
Soma Pia: Uwanja wa KMC Complex kufungwa...
Ripoti ambazo hazijatibitishwa zinaeleza kwamba michuano ya 2024 ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (TotalEnergies African Nations Championship) itasogezwa mbele hadi Agosti...
Klabu ya Wydad Athletic Club imewasiliana tena na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya wachezaji wawili, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki.
Pia, Soma: Hawa ndio Wachezaji Wazawa ghali zaidi Ligi...
Niwalaumu mno CAF kwani kama Kenya (ambao nina uhakika ndiyo wamechelewa kuwa na Miundombinu inayotakiwa kwa Mashindano hayo ya CHAN) bado kwa kuokoa muda na kutoharibu Ratiba za Mataifa mengine...
Michuano ya CHAN ambayo ilipangwa kuanza kututuma vumbi kuanzia mwezi ujao Sasa imepigwa Danadana Mpaka mwezi August mwaka huu.
Miongoni mwa sababu za Ratiba hiyo ni kutokukamilika kwa baadhi ya...
"Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba...
Kocha huyu ingawa kwangu ananipa mashaka sana kutokana na sub zake lakini haiondoi ukweli kuwa amevunja rekodi ambazo hazijawahi kuwekwa na kocha yeyote aliyewahi kufundisha Simba.
Fahdu ameweka...
Mpira ni furaha sio uadui
Nashauri tu kama inawezekana Yanga na Simba wakubaliane kama kuna wapenzi wa Simba wanataka kuja kuiona Yanga
Wawaruhusu kwa makubaliano yao maalum watumie tiketi zao...
Nimewaza na kuwazuia sanaa
Hivi kwa nini Sxafen walipewa adhabu mapema kabisaaa. Hili hali wotee walifanya Fujo na Simba siku Moja
Iweje Hawa jamaa leoo wameona tumeingia robo final
WANAANZA...
Kama una optn za aina hii kwenye kampuni ya bet weka mzigo
7 odds
Mda si mrefuu wanayanga tu atinga robo final na kufurahia matunda ya kocha wetu
All dbest hizo juu ndio matokeo tarajiwa
Rgds...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kwa klabu ya soka ya Sfaxien kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya mchezo dhidi ya Simba.
Pia, wameadhibiwa kwa kitendo cha mashabiki wao kutupa...
FULL TIME: Zanzibar Heroes ndiyo mabingwa wa MapinduziCup2025
Wametwa Ubingwa Huo Mara Baada Ya Kuibuka Na Ushindi Wa Magoli 2-1 Mara Baada Ya Dakika 90.
Ushindi Huo Unaendelea Kuanikiza...
Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana.
Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale...
Mchambuzi wa kabumbu geoff lea ameseyasem haya kupitia kipindi cha michezo cha Croen sports
Kuna udhaifu ambao yanga wanao hivi sasa, inabidi uwe mwepesi kuling’amua hili. Yanga Sc wanaruhusu...
Nadhani niliwatahadharisha mapema kuwa hakuna Watu Wanafiki na wepesi kufanya Biashara za Madili kama akina Bandeko Nangai (Wakongomani) na hatimaye mmekiona.
Pamoja na Uzito wangu wa sasa wa...
Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni...
Mchezo huu utakuwa wa uzinduzi wa uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga, ambao ulikuwa ulikuwa ukihairishwa mara kwa mara mara kutokana na Yanga Kuwa na mchezo minginya CAFCL
Mashabiki wa Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.