Na kwa tuliobahatika kidogo kuishi / kukaa na akina Bandeko Nangai (Wakongo kutoka DRC) hawa Jamaa unachokiona Nyusoni Kwao sicho kilichopo Mioyoni Mwao.
Unaweza kuwa nae katika Dili (kama la...
Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni...
Mashabiki wa Yanga hizi karibuni wamekuwa wakimkosoa sana kuwa ameshuka viwango na hata wengine kudiriki kusema auzwe. Nadhani asingefungwa jana na timu kutolewa kelele zingepigwa sana kama jinsi...
Naona ngoma ya watoto ashaisha, naombeni tu mkalale salama kesho shule zinafunguliwa.
Mimi nikiwa kama shy land mganga na mgaguzi kweli kweli nimecheki mitambo yangu nimeona al hilal amekufa...
Kibwana Shomari ni mtu bado wa maana sana alikosa kuaminika na Gamondi hili sijui lilitokeaje lakini ni beki anaejua vizuri majukumu yake uwanjani..
Nimemuona kwenye hizi mechi mbili huwezi amini...
FC Bravos in Build-up na 2-4-1-3 yao wamecheza vizuri sana dakika 45 za kwanza kwa kuzuia hatari za mpinzani wao hasa ndani ya 18 na kucheza muda mwingi kwenye Nusu yao! Kuanzia 1 Vs 1, Accurate...
Yaani mpaka sasa Yeye ndiyo hajafungwa Mechi hata Moja halafu na Fedha zenu za Kukwepa Kodi za Kampuni yenu (yenye shareholder mkubwa Mstaafu Mr. Chalinze Bagamoyo) ndiyo mnataka mumuzawadie ili...
Uchawi wa mpira now days upo kwenye nguvu ya viungo katikati ya uwanja.
Zamani uchawi wa mpira ulikuwa unaamuliwa na kasi ya mawinga ndio maana mawinga kama akina Ribbery, Arjen Robben, Wright...
Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo
Nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu...
Kuwa na pesa na kuwa na mafanikio ni vitu tofauti, binadamu anahitaji vyote kwa nyakati tofauti. Pesa zinaisha lakini mafanikio (legacy) yanadumu.
Kiwango cha FeiToto kwenye football kiko kwenye...
Ushindi wa soka raha, hawa ni mashabiki wa Timu ya Simba, wakisheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, jana jioni (Novemba 27, 2024).
Sherehe hizo zimefanyika katika...
Kwanza nikiri wazi naamini football sio mchezo mzuri Kwa wanawake kushiriki katika kucheza au uamzi labda kwenye uongozi na nafasi nyingine katika football
Si busara wala tamaduni zetu Africa...
Ni kicheko tuuuuu.... Kwa raha zangu. Al Hilal wamejichanganya sana.wameingia kwenye mfumo kipigo ni halal yao. Kama ilivyoandikwa Al mil shalluh tunawah aanith watalah sal namil kasas. Kisasa...
Mi nawashangaa sana watu wanaosema YANGA kuvuka makundi ni ngumu wakati kama YANGA atamfunga Al Hilal kuanzia 3 bila basi hata kuombea hilal apoteze dhidi ya TP Mazembe ili aongoze kundi
Kudadadeki zenu mlitaka mumpeleke Namungo kwa Mkopo kisha baadae mumuache Kiujanja Ujanja (Juu kwa Juu) kama mnavyowafanyie Wengine Bandeko Nangai (Mkongomani) akawashtukia
Na sasa kawaambieni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.