Bondia wa ngumi za uzito wa juu, Tyson Fury, ametangaza kustaafu mchezo wa ngumi baada ya kushindwa kwenye pambano na Oleksandr Usyk. Taarifa hii inakuja siku mbili tu baada ya Eddie Hearn...
Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amefiwa na baba yake mzazi, kifo kilichotokea Januari 11, 2025, nyumbani kwao Kinshasa DR Congo...
Kumekuwa na vijimaneno vingi Tu toka Kwa "Walimu wa makocha" au sijui niwaite "wakosoaji wa makocha" hawana zuri hata kidogo wanachokiona Kwa makocha.
Wamekuwa wakimkosoa Sana Fadlu kuwa mara...
WINFRIDA HUBERT GERALD(16)🇹🇿 One of the Best Talent 🧠! Kuanzia ndani ya klabu yake ya JKT Queens hadi National Team za Wanawake amekuwa na kiwango bora sana uwanjani pale anapopata muda wa...
Na declare interest,Mimi sio shabiki wa hizo Timu zenu za Kisiasa,Bali mpenda soka tuu
Yaani Simba imeingia robo fainali wakati anaemfuatia ana uwezo wa kuzifikia pointi za Simba na Kuipita goal...
Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC...
Baada ya Al hilal ya ibenge kula kichapo kizito kutoka Kwa mabingwa wa kihistoria young Africans
Wanasimba wameandamana kwenye vyombo vya habari plus mitandaoni wakimtuhumu GSM Kwamba ameanza...
Beki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024...
Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.
Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.
Kwenye mechi ya Algeria aliokoa...
Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu...
Yanga inajivunia kionesha umamba katika Ardhi nyingi za kigeni kuliko timu yeyote Tanzania na Afrika Mashariki
Misri
Tunisia
Nigeria
Liberia
Mauritania
South Africa
Congo Drc
Algeria
Rwanda...
We dogo una vielement vya kutojitambua au labda unajichukulia poa kiasi kwamba timu nazo zinakuchukulia poa.
Umeingia anga za usajili wa kimhemko wa Yanga ambao siku hizi wanasajili wachezaji ili...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA✍️
Najua utastaajabu kwanini nakwambia ameshafuzu. Hesabu hiko ivi:-
Kwanza kabisa unapaswa kutambua kuwa simba ana point 9 huku adui yake namba moja ni blavos mwenye...
Katika Mtandao wa Sokavibe6 ameonekana Kocha Ibenge akiwa na Ali Kamwe na Privaldinho kutoka Yanga SC akisema kuwa Simba SC huwa wanaweka Dawa Vyumbani kwa Mkapa ili kuzifunga Timu za Kigeni na...
Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani...
HABARI.
Ili yanga afuzu game la mwisho inatakiwa ashinde 3 goals game ya Mwisho na Mc Alger.
AL hilal mechi 4 point 10
Mc alger mechi 5 point 8
Yanga mechi 4 point 4
Tp mazembe mechi 5 point 2.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.