Yule full beki wetu wa kulia, HAJI MNOGA anayechezea Taifa stars na Salford city ya nchini Uingereza, anatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaowakabili Manchester City leo kwenye michuano ya FA...
Hili ni swali ambalo wengi bila shaka wanajiuliza, na wangependa kufahamishwa.
Kwa mfano ni vigezo gani vilifuatwa kuteua kocha wa Timu ya soka ya Tanganyika iliyopachikwa jina la uongo la...
"Naendelea kusisitiza sitaki makipa wa nje na wachezaji wa nje wapunguzwe kutoka 12 hadi wabakie 5. Kilichoitokea Kilimanjaro Stars kule Zanzibar ndio uhalisia wa soka letu".
JEMEDARI SAID...
Mchezaji wa zamani wa Arsenal Carlos Vela amepoteza nyumba yake ya kifahari ya Malibu katika eneo la Moto wa maangamizi wa Los Angeles
Angalau miundo 5,000 imeharibiwa katika kile kinachotarajiwa...
Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana.
MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki.
Mchezo huu ni muhimu...
Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni,
kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion...
Kwa wasiojua mpira wanadhani wananchi wameshatoka kutokana na matokeo ya jana ya mwarabu na mazembe,
Sasa iko hivi matokeo ya kesho,Al hilal 1 Yanga 1,hivyo kundi litasomeka Al hilal points 11,Mc...
Ule mchezo wa jiesiemu kwa vitimu vidogo vidogo wamefanyiwa yanga wenyewe.
Kuna wachezaji wanajua mchezo mzima. Lakini pia za ndaani kabisa kuna wale wapinzani wa kesho wamewekewa dau kubwa iwapo...
Nyota wa Simba Kibu Denis anasema hawana mechi ya nyumbani wala ugenini na kuna dalili kwa timu yao kuchukua ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutokana na upambanaji wao.
"Katika...
Mpaka sasa Al Ahly keshabanwa vigololi vya mipira kwa bao 1-0. Stade Abidjan ambao ndio wanyonge wa kundi hilo wamemkamata koo Al-Ahly hapumui.
Sasa hivi ni halfa time.
MAMELODI SUNDOWNS 🟡🔵 nimewatazama wakishinda 2-1 mbele ya Maniema Union ugenini leo, ukweli ni kwamba hawana tena ufanisi ule waliokuwa nao mwaka mmoja au miwili nyuma na hata ushindi wa leo basi...
Waamuzi wa Zanzibar wanatia aibu
Inaonekana wanachezesha Kwa maelekezo, yaani wameambiwa Zanzibar laZima afike final
Nimetazama mechi ya Zanzibar na Kenya ila yule mwamzi ni muhuni aisee
Amegawa...
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa...
Nitamuelewa tu Kocha Fadlu kama Wawili hawa wakianza pamoja, ila kwa Mimi GENTAMYCINE huyu Mavambo kuwa anaanzia Benchi kiukweli huwa simuelewi Kocha Fadlu japo namheshimu mno na nakubali Kazi...
Nyota wa Real Madrid, Vinícius Júnior, anafikiria kununua klabu ya soka katika ligi daraja la pili nchini Ureno, kwa mujibu wa chanzo kilichoieleza ESPN.
Ligi hiyo ya Ureno ina jumla ya klabu 18...
Meneja wa uwanja wa KMC Complex Daniel Madenyeka amesema uwanja huo umeanza kufungwa taa pindi zoezi hilo litakapokamilika mechi zitaanza kuchezwa hadi muda wa usiku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.