Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Najua Kuna vitimu vidogo vinahangaika kutaka kubeba UEFA ila napenda kuwatangazia kwamba Ile timu ya makombe inaenda kulinyakua hili kombe mwaka huu na timu hiyo ni arsenal the gunner watoto wa mjini
0 Reactions
6 Replies
229 Views
Mimi (GENTAMYCINE) baada tu ya Simba Day (juzi Jumatatu Alfajiri tu) nilikuja na taarifa hapa JamiiForums, tena nikijiamini nayo kabisa nikisema kama Mchezaji Mshambuliaji wa Simba SC Mzambia...
21 Reactions
53 Replies
4K Views
Nianze kwa kuwapa pole mashabiki wote wa timu za Kariakoo. Kiufupi kwa jinsi msimamo wa makundi ulivyo kwa wote Simba na Yanga, niwambie tu muda wa kuchekana bado. Muhimu: Yanga asipoingia robo...
3 Reactions
13 Replies
743 Views
Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Najua mtaumia na wengine mtanitukana, lakini ndugu zangu ukweli lazima usemwe. BRAVO NA CONSTANTINE WANAKWENDA ROBO FAINALI.
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Arsenal kikombe mnachoweza kubeba ni cha mbege sio EPL, OK kelele ziendelee tena, msimu ujao tena anzeni kwa mbio zilezile ,mwishoni kama kawa 😂😂😂
0 Reactions
3 Replies
415 Views
Hapo mwanzo Simba haikuonekana timu tishio. Kila mshabiki wa Simba hakuwa na tumaini na timu yake. Ndipo Mo akasema, anarudi kwenye uenyekiti wa bodi ya wakurugenzi. Ikiwa jioni, ikawa asubuhi...
12 Reactions
34 Replies
1K Views
Mambo vp JamiiForums Sasa tunalo kombe la mapinduzi kwa vilabu kutoka Tanganyika na Zanzibar, kwanini tushindwe kuwa na kombe la muungano (April 26) mechi moja tu kwa timu za taifa za bara...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅...
6 Reactions
45 Replies
1K Views
MC Alger akishinda game moja tu halafu Yanga atoke sare na Al Hilal (japo 99% Al Hilal atashinda) basi Yanga itajiunga na wachovu wenzao TP Mazembe kuyaaga Mashindano
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Wazee wa kuvizia wanyama wakali waue kisha wao wale mizoga kwa sasa endeleeni kununua betri kwa ajili ya vikokotozi vyenu maana hesabu ni ngumu sana kwenu. Mwakarobo hapa Sent from my Infinix...
0 Reactions
18 Replies
492 Views
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the...
3 Reactions
20 Replies
804 Views
Habari wadau, naomba kuelekezwa machimbo ya jezi za mpira wa miguu, kuna jezi zinauzwa kariakoo pale kwa sh. 8000 adi 9000 zingine, naweza pata wapi hizi jezi kwa bei ya jumla?
3 Reactions
26 Replies
816 Views
Simba wasipokuwa makini hawendi robo fainali, wanaenda kucheza dhidi ya Bravos wenye alama sita, kama ikitokea Bravos akashinda, atafikisha alama 9 sawa na Simba na mchezo wa mwisho Bravos...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Aliyetunga wimbo huu ni kama aliwatungia Yanga kwenye michuani ya kimataifa? Wimbo sahihi kwa wakati sahihi
4 Reactions
18 Replies
560 Views
Siku ya Mechi Kali. Mwenyeji: CS Sfaxien FC Mgeni : Simba SC Mashindano: CAF CC Group Stage. Group A. Uwanja: Stade Olympique Hammadi Agrebi Stadium, Rades, Tunisia. Tarehe: 05th January...
17 Reactions
635 Replies
20K Views
Mambo haya yameshaingia kwenye mfumo wa maisha wa mtzania wa kawaida kiasi yanaonekana kuwa ni sehemu ya kawaida ya maisha. Wakati mechi kubwa inachezwa sio ajabu kukuta mtu au kundi la watu wake...
1 Reactions
19 Replies
559 Views
Mpaka sasa hana goli ila mashabiki watasema anacheza vizuri, kwa sisi tunaojua mpira hadi useme amecheza vzr tunarudi kwenye numbers zake ana assist ngapi ana pre-assist ngapi awe mtu wa tatu...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao ..... Kiuhalisia...
2 Reactions
54 Replies
1K Views
Back
Top Bottom