Ibenge Yupo amejenga jina tayari, mbabe Wa mbinu. Anaogopwa!
Kikubwa kinachombeba ni mbinu Ya Michuano husika. Kujua Michuano inahitaji nini kwa wakati husika? Na kuweza kutengeneza mipango ya...
Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia...
🇳🇬🗣️ John Obi Mikel:
Baba yangu alitekwa nyara wakati nilipokuwa nikiichezea Nchi yangu Nigeria katika Kombe la Dunia la Mwaka 2018 lililopigwa nchini Urusi.
Tulikuwa tunakaribia kucheza dhidi...
BUNDI anaelekea kulia katika Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) kwa sababu Mwenyekiti wa chama hicho, Lameck Nyambaya kubananga katiba yake.
Tangu achaguliwe kushika wadhifa huo kwenye...
Yanga iliyumba kwa hujuma tu.
Hii ndio ndio Yanga na walipaswa kuwa vinara wa kundi.
Tunawaombea wazidi kufanya maajabu, kazi iliyombele Yao sio ya kitoto.
Wahenga walisema "baraka inaweza kujificha". Siku chache zilizopita Simba ilienda Singida ikakutana na mechi ngumu ya kukamiwa. Walio nyuma ya Singida wakawaahidi wachezaji wao mapesa mengi...
Simba tunahitaji point 1 tu dhidi ya bravos ili tufuzu, kivipi yaani? Tukipata sare tunafikisha alama 10 bravos anabakiwa na alama zake 7, bravos kama atamfunga cs sfaxien kwenye mchezo wake wa...
1.Simba imecheza vizuri sana mpaka ilipokuja kuvurugwa na kocha dakika ya 76.
2. Elie Mpanzu aongezewe muda wa kucheza ni mashine ya boli.
3. Simba ni imara zaidi golini na inabebwa na mlinda...
Kuna watu wamekuwa wakijifanya wapenzi wa Gamondi utafikiri walikuwa wanamjua huyo Gamondi kabla ya Hersi kumleta Yanga. Yaani anajifanya kususa timu kisa tu uongozi kuachana na Gamondi na kuwatoa...
Presha inazidi kupata kulekea hapo kesho 19 Oktoba kwenye mchezo wa Dabi ya Kariakoo itakyowakutanisha watani wa jadi Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo huu utakaochezwa katika Dimba la Benjamin...
Yaani Tp mazembe walivyo wabovu wameshajichokea bado yanga anahangaika kumfunga mazembe tena kwa mpira wa papatu papatu ama kweli yanga bado sana yaani hamna kitu.
Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play kwenye nyakati nyingi : Simba walianza na plan nzuri sana dhidi ya Sfaxien...
Naomba tujiunge group letu pendwa la watani wa jadi Tanzania wewe ukitaka kujiunga gusa hapa tu : SIMBA VS YANGA utakuwa umeungana na wana michezo wenzako karibu sana mdau wa soka unakaribishwa...
i salute you kinsmen kwa jina la gusa achia twende kwao
nimechunguza sana kauli ya bwana chasambi kuwa ndani ya team yake hakuna role model wake ila yanga wapo anaowakubali akiwemo max mpia
sasa...
Kuna jambo limenishangaza jana la kitendo cha ball boys kuiba begi la golikipa wa TP Mazembe na kukimbia nalo.
Kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Rais wa Yanga Hersi Said ambaye pia ni...
Habari jf,
Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki.
Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni...
Mchezo wetu (Liverpool) ugenini dhidi ya Manchester United ni mechi maalum kwa United kuliko wanapocheza dhidi ya timu nyingine, wanacheza kwa bidii zaidi ya kawaida yao, ndio maana inakuwa mechi...
Walitoa mpaka clip wakimong'onya na mkataba feki wa Kagoma halafu mchezaji mwenyewe walienda kumlipa kwa mafungu kama wananunua nyanya.
Hivi hawa mwiko nyuma wanatuonaje sisi wapenzi wa mpira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.