Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari Wakuu, Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo, Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda) Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw) Tp...
10 Reactions
96 Replies
11K Views
Habarini wakuu, Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe, Al Hilal vs Yanga Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Haya takwimu hizo hapo, nani ni bora zaidi?
0 Reactions
12 Replies
471 Views
We jamaa pamoja na kwamba unachezea utopolo nimekupigania sana ili timu yako isilalie fursa zinazokujia. Niliwahi kusema ukipunguza wenge wewe ndiyo unaenda kuchukua mikoba ya kina Samatta na...
30 Reactions
66 Replies
3K Views
Ni mashindano ya kuidhalilisha Tanganyika na watanganyika. Imefungwa Kila timu.
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Nimeumia sana kuona Zanzibar ipo ila Tanganyika imebatizwa jina la ajabu eti Tanzania Bara!!!
3 Reactions
20 Replies
907 Views
Hemed Morocco Juma Mgunda Jamuhuri Kihweru Amri Kiemba Bakari Shime Ahmed Ally Je umegundua nini hapo kuhusu soka la bongo?
0 Reactions
6 Replies
339 Views
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana. Sana walimwita Messi. Ramadhani Singano. Alipotelea wapi? Anafanya nini kwa sasa? Kizazi chake katika soka ni akina Mohammed Hussen kama sijakosea. Hawa...
1 Reactions
12 Replies
583 Views
Ili Yanga iweze kufuzu hatua ya robo fainal basi ndiyo timu inayohitaji maombi zaidi kwasasa. Maneno hayo yamesemwa na Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia
0 Reactions
3 Replies
264 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, haya mashindano ya mpira huko visiwani maarufu kwa kombe la mapinduzi huko Zanzibar kushirikisha timu za mataifa mbalimbali kuliko mtindo wa zamani...
0 Reactions
1 Replies
167 Views
Beki kitasa alichezea mikia akaondoka kwa maneno sana kwenda SA kama sijakosea .yu wapi sasa? Mbona haitwi team ya Taifa?
1 Reactions
1 Replies
183 Views
Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025. Ngoja niwaambie, Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya...
2 Reactions
9 Replies
539 Views
Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wapendwa naomba niwaambie ukweli wanao simamia timu ya Taifa kule Mapinduzi Cup mnatuonea sana Wa Tanzania,timu IPO chini ya kiwango,wachezaji wabovu,kocha mmbovu hivi kweli mnashindwa kuwa...
3 Reactions
9 Replies
351 Views
Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada. Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day. Dini yetu inakataza...
14 Reactions
188 Replies
4K Views
Samahani wakuu kama ww ni Mtanzania unayeishi hapa hapa tz unawezaje kucheza lotto online ya nchi za nje kama USA, Australia,UK ? Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
316 Views
Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa. Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize (20) amechaguliwa na shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) kuwa mchezaji bora wa wiki baada kuisaidia Yanga kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Mnyama Simba aliongoza kundi mbele ya mabingwa wa kihistoria Al Ahly katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mambo kama haya ni wakubwa wa kazi tu, timu yako kama ina watoto wanaopaka rangi nywele huwezi...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Nimesikitishwa Sana Kusikia eti Simba imeifunga timu ya Madrasa huko Tunisia CS Sfaxien...! Hawa jamaa ni Mabingwa mara nne wa michuano ya CAF miaka ya karibuni. Hawa wanaosema hivyo, ndo Wale...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Back
Top Bottom