Yanga wana kikosi kizuri sana cha kushindana ligi ya ndani hilo halina ubishi, lipo dhahiri shahiri wala hatupingi ila kuna tatizo mahali kwenye michuano ya kimataifa.
Mfano Simba walienda kambi...
Kumbuka mimi ni mtu wa mpira na nilishacheza mpira katika kiwango cha juu sana mpaka nikapewa jina la ALPHONCE MODESTE
SIMBA ANAPITA KUENDA ROBO KWA HESABU HIZI ZIFUATAZO KATIKA MECHI NNE ZA...
Habarini Wanamichezo,
Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa
Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini...
Kocha na benchi la ufundi la Simba sc pamoja na mashabiki wa Simba bado hawajarudi mchezoni toka wafe kiume kule uarabuni.
Mbaya zaidi na namungo kapiga kwenye mshono /kadroo na Simba hicho...
Mkiruhusu Wachezaji wafuatao watakuwa wanachezea sana Vipigo vyangu kwani ndiyo Wanatugharimu pakubwa Simba SC ila kwa Unafiki na Upopoma wetu tunajifanya hatujui na hatuoni.....
1. Clatous Chama...
Najua baada ya matokeo ya leo kauli zenu Wanasimba zitakazotapakaa ni kwamba mtajiandaa kwa msimu ujao, licha ya kua mlisema nguvu zenu mumezielekeza fa[emoji23][emoji23]
Ningeomba niwatoe...
Ndugu Mo Dewji, Salim Tryagain na Mutaza Mangungu, Nini mnaweza kutuambia mashabiki tukawaelewa baada ya leo kuhitimisha msimu Simba ikikosa makombe yote? Simba imekosa ubingwa wa ngao ya Jamii...
Nilibebwa kwa kupokezana kutosha shule ya Msingi hadi nyumbani kwetu kilomita 5 nikiwa darasa la nne. Wanafunzi wa kutoka mtaani kwetu walinibeba kama shukurani na pongezi kwa kumpiga jiwe la...
Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia.
Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti...
Viongozi wa klabu ya Simba SC wanafikiria kuhamishia mechi zake za kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC) katika uwanja wa Aman uliopo Zanzibar (kwa mechi za nyumbani)
Sent using Jamii Forums...
Najua matusi na kejeli zitamwagika Kama mvua ya mawe baada tu NALIA NGWENA kuzungumza ukweli huu mchungu usiopingika.
Zimeibuka kelele nyingi zakumtukuza Jean Baleke kuwa ni "talk of town"...
Ndugu zangu makolo hongereni kwa kumaliza msimu huu na makombe kedekede.Timu yenu mmeiharibu wenyewe kwa kuwapa wachezaji wenu sifa zisizofaa na hiyo imepelekea wachezaji wenu kuwa na OVER...
Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga
Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75
Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa.
Wakishika nafasi ya 20 wakati...
Kwa mara nyingine tena mabingwa wa robo fainal caf Simba Leo wamefanikiwa Tena kufa kiume huko mtwara baada ya kubanduliwa goli 2-1 na Azam katika mchezo wa nusu fainali Azam Confedaration Cup...
"Mechi ni ngumu, lakini mimi natamani tufungwe na Azam halafu Yanga watwae kombe la CAFCC ili Simba tupate uchungu tusisajili akina Sawadogo tena"
"Unajua tukishinda na tukafanikiwa kuchukua (FA)...
Ikiwa habari ya kesho ni hii basi huyu dada anatakiwa kuingia moja kwa moja peponi.
Msije kuniua, nimetumia lugha ya picha tu. Nachotaka kusema kocha ametafuniwa kila kitu!
Wakuu
Afrika hii kuna makocha alafu kuna huyu mzee Pitso mosimane ni kocha nusu
Mwamba baada ya kuachana na Al Ahly ya Egypt Alisajiliwa na team ilioshuka daraja huko uarabuni..Rais wa team hiyo...
Habari zenu..
Nina masikitiko sana msimu huu simba hawajachukua kombe lolote.
Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa yanga mimi ni mwananchi kabisa na siwezi kuishabikia simba daima.
Ila kinachoniumiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.