Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa
Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu...
Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya...
Klabu ya Yanga SC si kwamba imefuzu tu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, bali imeongoza katika vitu vingi kwenye michuano ya CAFCC mwaka huu.
Yanga SC ambayo imetinga nusu...
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.
Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na...
Klabu ya Paris Saint-Germain imeripotiwa kumsimamisha mshambuliaji Lionel Messi kwa wiki mbili bila mshahara baada ya Nyota huyo raia ya Argentina kukwepa mazoezi ya klabu hiyo na kukwea pipa...
Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la...
Inasikitisha sana! Kiukweli nauona mwisho wa kijana huyu, kwa kweli ni majonzi.
Nakumbuka kuna kijana aliitwa Singano, na aliitwa Messi pia, lakini baada ya kupata umaarufu akalewa na akajakuwa...
Kwa mwaka huu mlipofika mtakuwa mmejitahidi
Mjipange kwenda kudefend tu msishuke daraja ligi ya kwenu huku caf hamna chenu
Tz mtakufa bao 3
Huku ngoma itaenda droo
"Marumo Gallants wameingia kwenye michuano ya CAFCC kibahatibahati na wameitumia hiyo bahati kufika hapa walipo. Waliingia michuano hii kutokana na Mamelodi Sundowns kuwa bingwa wa ligi na...
Pichani ni Manchester Derby iliyopigwa mwaka 1947. 🤝
Siku zote mechi hii ya mahasimu wa Jiji la Manchester haijawahi kuwa ya kitoto kabisa. Mechi iliyopita iliisha kwa Manchester City kupata...
Aisee natazama hii mechi ya Singida BS vs Yanga nashangaa kweli
Singida hawataki kushambulia Yanga halafu wanaruhusu mashambulizi mengi kiasi kuwa dakika ya 20 pekee wamesharuhusu magoli 2 uwanja...
Achana na habari ya kushuka daraja, lakini performance ya hawa Gallants ni moto, wako vizuri sana. Kama kuna watu weshuhudia game ya jana kati ya Pyramid dhidi ya Al Ahly wataona moto wa pyramid...
Statistics
Stephen Aziz Ki
Mechi 21
Dakika 1342
Magoli 9
Pasi za goli 4
CLatous Chama
Mechi 23
Dakika 1836
Magoli 3
Pasi za Magori 14
Clatous Chama
Yupi Yupo kwenye kiwango kwa...
Habari wakuu,
Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.
Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili...
"Tumepata athari ya kifedha baada ya mchezo (dhidi ya Simba Sc) kusogezwa mbele, kwa sababu mchezo kama ungechezwa tarehe 6 kama ilivyopangwa basi tarehe 7 tungerudi na hivyo watu wangepumzika na...
Kuna kikundi Cha wahuni (waliokufa kiume) walizani kuwa yanga itadondosha pointi kizembe mwisho wa siku matumaini yao yamegeuka imekua ndivyo sivyo.
Prof wa mpira Nabbi kaingiza full mkoko kikosi...
Anaandika Wakili Msomi simon.esq, Mkurugenzi wa sheria wa Yanga Sc
_____________
Kwa ridhaa ya timu ya Yanga (klabu ya Wananchi) napenda kuongelea kwa mara ya mwisho sakata la mdogo wetu Feisal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.