Siku za nyuma tumeona wachezaji wenye migogoro na klabu zao, wakati mgogoro unasubiri kufanyiwa maamuzi, mchezaji anaruhusiwa kujiunga na klabu kwa miezi 6, bila ada ya uhamisho.
Mfano ni...
" Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa...
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) jana Mei 4, 2023 ilisikiliza shauri la mchezaji Feisal Salum 'Feitoto' aliyewasilisha malalamiko akitaka...
Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au...
Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,,
Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie,
NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE...
Picha: Feisal Salum 'Fei Toto'
Shauri la FEISAL SALUM na YANGA SC linaenda kusikilizwa leo tarehe 04.05.2023 kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji.
Taarifa kutoka ndani ya TFF zinaeleza...
Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
Baada ya kuona Hawa ndugu zetu Wana hangaika sana kutuonesha rekodi za makombe kupitia majedwari, nimeonelea niwaandalie majedwari yaliyo wazi Ili watujazie taarifa zao za kihistoria na mafanikio...
Marumo kwa yanga atakuwa kama rivers united tu
Na kuna uwezekano yanga akawafunga nje ndani save sms yangu hii
Kumtoa pyramide Sio kigezo cha kuwaona bora
Pyramid na marumo wote wabovu tu
Timu...
United kwa sasa wakiwa na pointi nne nyuma ya Liverpool wakiwa na mchezo mmoja mkononi na nane mbele ya Brighton wakiwa wamecheza mechi moja zaidi, mapema zaidi wanaweza kushika nafasi nne za juu...
Katika pitapita zangu mitaani, mitandaoni na vijiweni nimekutana na mashabiki wa Yanga na Simba wakitaniana, tambiana na kupigana vibisibisi vya hapa na pale. Hiyo yote inapelekea kunogeshwa kwa...
[emoji599]...BREAKING NEWS
Mshambuliaji wa klab ya Yanga, Fiston Mayele ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Africa mwezi April tuzo kutoka katika jarida maarufu la michezo Africa #foot_africa...
Rasmi leo natundika daluga la kubeti.
Ni zaidi ya miaka kumi nabet sijaona faida yeyote zaidi nimeishia kugombna na jmaa zangu pmj na ndgu kwa ajili ya hya mambo, itoshe tu kusema betting...
Kwa kweli ninajisikia raha sana kuona jinsi hawa jamaa zetu wanavyohangaika kutafuta furaha baada ya kupigwa mikuki miwili bila majibu.
Wana Simba tunawa enjoy sana kiasi kwamba hata lile tamasha...
Nguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama...
Simba na Yanga zote zimecheza match 26 hivyo zimebaki match 4.
Niko zaidi upande wa Yanga ambayo imebakiza michezo miwili Mbeya kati ya Prison na Mbeya city pia ina michezo na Dodoma Jiji pamoja...
“Matokeo ya jana kusema ukweli wa Mungu yametuumiza sana, yametukatisha tamaa kwa sababu Lengo lilikuwa ni kushinda ili tuweze kuleta ushindani mzuri kwenye mbio za ubingwa.
“Baada ya kupoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.