Singida? Kagera Sugar? Dodoma Jiji? Hawa wachovu sana kwetu. Yaani hawa huwa tunaingia kwenye ligi tukijua kabisa wanapoints zetu. Idadi ya mabao tu ndo tunakuwa hatujui.
Mbwa walidhani Singida...
Club ya soka ya Leeds United leo imemtangaza Big Sam kuchukua mikoba hadi mwisho wa msimu , baada ya kutimua kocha wao kutokana na matokeo yasiyoridhisha .
Kila la heri Big Sam
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya firauni...
Kuna timu mojawapo hapa nchini Huwa inaanza msimu Kwa mikwara mingi sana ila mwishoni mwa msimu huwa inaangukia pua vibaya...
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Singida Big Stars katika mchezo wa wa ligi ya NBC..
Ikumbukwe katika mchezo wa awali Yanga...
Napoli sealed their first Serie A title in 33 years as Victor Osimhen's strike earned a 1-1 draw against Udinese.
Having missed the chance to win the title in front of their own fans on Sunday...
Mechi ni saa 1 usiku
Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco
Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana...
Kizingiti kingine kwa Arsenal ni leo dhidi ya Liver. Mechi hii kwa namna yoyote itamlazimu Arsenal kushinda nje na hapo nafasi kwake itazidi kuwa finyu. Ktk makaratasi game zilizobaki City anao...
Kilabu ya mpira wa miguu yenye makazi yake Msimbazi jijini Dar es salaam imepambana hatimaye kushindwa kutwaa alama tatu ugenini katika dimba la Majaliwa, Dhidi ya Club ya Namungo, Yenye makazi...
Yanga na man city, ndo timu pekee zenye vikosi vipana zaidi kwa sasa duniani.
timu hizi zenye makocha bora zaidi duniani, zina nafasi kubwa sana ya kubeba treble msimu huu, kutokana na parfomance...
Simba msije mkajaribu tena kuiga kunya kwa tembo mtapasuka msamba, Ni ngumu kwa kikosi cha simba kukifanyia rotation kwa baadhi ya mechi vinginevyo inakuwa inatafutwa lawama tu,
Timu pekee yenye...
Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora.
Na ndiye alikuwa mchezaji pekee...
" Prof Nabi anngepewa mechi Ile ya Simba vs wydadi basi Ile mechi isingefika hata kwenye matuta, ingeishia dk ya 90 wydadi kafungwa Tena goli sio chini ya Moja" farasi wa vita (2023)
Sababu...
Wakuu,
Hivi ile Channel iliyozinduliwa kwa mbwembwe zote na bashasha Yanga TV Channel imeangukia pua?
Tujuzeni maana hadi Mpenja ana studio sasa Uto hawasomeki!
Ila hizi timu za Kariakoo...
Ukweli ni kuwa arsenal anaongoza ligi kwa bahati bahati hivi ngekewa ngekewa hivi utani utani hivi.
Arsenal amecheza mechi ngumu moja tu ya manchester united hawa ndio walimpa challenge.
Kwahiyo...
Wydad imeshuka kiwango, hasa baada ya kuondokewa na wachezaji wake muhimu wa msimu uliopita. Simba wangeweza kufika nusu final kwa kupitia Wydad msimu huu kama sio ujinga wa bench la ufundi...
Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350]
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika..
Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba
Ni...
Kuanzia kikosi alochopanga kocha hadi uchezaji na hatimae draw ni dhahiri Simba walikuwa wameshakata tamaa ya ubingwa mwaka huu 2023. Hili ni kosa kubwa sn wamefanya.
Hata mwaka jana walikata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.