Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi ni mwananchi ila kwa game 4 zilizobaki kuna uwezekano tukapoteza ubingwa kutokana na hesabu zamechi hizo. Ktk game 4 zijazo ni game moja tu tutakayo cheza dhidi ya Dodoma ndo nyepesi na tupo...
8 Reactions
68 Replies
5K Views
Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3...
1 Reactions
3 Replies
947 Views
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mabingwa mara nne wa Ligi Kuu Uganda, Vipers SC wameweka dau mezani kwa nia ya kumshusha kikosi hapo straika matata wa Yanga, Fiston Mayele msimu ujao. Chanzo chao kimeeleza kuwa uongozi wa klabu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine? Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na...
2 Reactions
10 Replies
833 Views
Watamkumbuka Abramovich! Yawezekana ni laana ya kumpora jamaa timu aliyokuwaanaimiliki na kuihudumia vizuri!! Hadi mapumziko Arsenal 3 - 0 Chelsea! Hapa naona mkono au wiki inanukia!!
6 Reactions
21 Replies
1K Views
KISASI cha miaka ishirini iliyopita kimelipwa Ijumaa usiku katika Uwanja wa Mohamed V, pale Casablanca. Kisasi cha watu wa Afrika Kaskazini dhidi ya Simba. Maumivu yalikuwa makubwa wakati Simba...
1 Reactions
3 Replies
794 Views
Kwema Wakuu, Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi. Sasa hapa natumia common measurement ya value...
7 Reactions
135 Replies
20K Views
Wakati Mazuzu na Washamba wakifurahia Kudekezwa kwa sababu ya Kipumbavu ya kuwapa nafasi ya Kujiandaa wenye Akili Kusini mwa Afrika wanaendelea Kukipiga huko Kwao katika Mechi zao za Ligi na...
2 Reactions
8 Replies
720 Views
... Mechi ambazo Ibrahim Bacca amecheza kuanzia group stage CAFCC. 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Bamako 🇲🇱 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Monastir 🇹🇳 🇹🇿 Yanga 1 - 0 Mazembe 🇨🇩 - (A) 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Rivers 🇳🇬 - (A) 🇹🇿...
6 Reactions
12 Replies
944 Views
Mwaka jana niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza mechi za kimataifa ili wawelete kombe na Yanga ni kama mnyama hatari ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Dakika za mwisho kabisa muda wa lala salama keptein Mohammed Hussein alimfuata kipa wake Ally Salum na kumuuliza kuwa ataweza kudaka penati Ally Salum alisema/alionesha ishara ya kuwa hatoweza...
20 Reactions
87 Replies
9K Views
Wana Yanga SC wote walijaa hadi Pomoni kwa Mkapa wakijua kuwa kama Ugenini mlishinda Goli 2 basi leo kwa Mkapa Wanaijeria wangekufa / wangefungwa Goli nyingi kuanzia 3 kwenda mbele matokeo yake...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo. Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na...
15 Reactions
72 Replies
3K Views
Mwaka 2015 mpaka 2016 alitokea Gor Mahia ya Kenya kuja kuifundisha Simba Fc. Majungu yakaletwa na na wanazi wa Simba. Akafukuzwa lakini leo hii anamafanikio makubwa tu huko Limpopo.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwaajili ya kuichambua team yetu ya Simba Sc kwa kuzungumzia mendeleo yaliyopo, changamoto zilizopo na nini kifanyike ili ipige hatua. Kelele na maneno yasiyo na mantiki havina...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
1.Wanafanyaje pre season Avic Town halafu wanategemea mafanikio kimataifa wakati wenzao wanaenda Nje wanapata exposure. 2. Nabi sio kocha wa kimataifa na hana bahati kabisa na mechi za kimataifa...
5 Reactions
16 Replies
739 Views
Kuna masela wawili pale jangwani waliofanikiwa kuipata chemchem baada ya miaka 88 na wananchi rasmi kuanza kuiota bahari katikati ya jangwa. Hawa ni viongozi wangu ila ni masela wenzangu pia...
2 Reactions
0 Replies
645 Views
Back
Top Bottom