Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wakuu. Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa mpira wa Miguu. Nikaanza kuipenda Simba nikiwa na miaka 7 Mwaka 2003. NAOMBA NIWAPONGEZE YANGA KWA KUANDAA TAMASHA LA KUICHEKA SIMBA KWA SABABU...
1 Reactions
5 Replies
898 Views
Kila mmoja anaisifia Mamelod kuwa ni timu tishio msimu huu lakini hawasemi Mamelod amefikaje hapo Kabla ya kufuzu Nusu fainali msimu huu Mamelod amecheza Robo Fainali 4 mfululizo na kutolewa zote...
11 Reactions
12 Replies
773 Views
Kuna wakati aliwaambia mashabiki wa Yanga kwamba kati ya wingi wao wenye akili ni wawili tu. Baba yake na Rais Kikwete. Muulizeni baada ya kuhamia Yanga yeye akili zake alimkabidhi nani
5 Reactions
10 Replies
717 Views
Leo Arsenal itajaribu kufufua matamanio yao ya kubeba ubingwa wa ligi kuu dhidi ya timu mbovu na dhaifu sana msimu huu chelsea Vibonde wa chelsea hawajashinda mechi kwa miezi miwili mfululizo...
0 Reactions
8 Replies
547 Views
Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Najim unatarajiwa kuzikwa wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Najum alianguka ulingoni jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa pambano lake la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiishabikia simba kwa Vitendo mechi zote za CAF na zile baadhi ya ligi nimekuwa nikienda Taifa kuisuport timu yangu ila niseme tu ukweli kati ya Robo fainali zote Simba ilizoingia...
1 Reactions
2 Replies
426 Views
Rivers United itapiga kwenye mshono wa Yanga wa tarehe 16/04/2023!! "wananchi" msijifanye hamjaelewa!
4 Reactions
19 Replies
2K Views
“Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup), na kila la kheri katika maandalizi mliyoanza sasa kwa mchezo ujao. Mmeandika historia jalili...
6 Reactions
9 Replies
857 Views
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukiangalia ratiba ya CAF bora Yanga wakamalize mechi zote Singida. Kwanza Singida ni mtoto wao atwaachia tu. Ikitokea wamefuzu kucheza fainali kuna mechi za home and away tar 28 mei na tar 02...
1 Reactions
6 Replies
644 Views
Timu ya Young African wameandaa event itakayofanyika ukumbi wa JNICC (Julius nyerere ) kwa lengo la kufundisha mashabiki wao jinsi ya kufurahi na kuwacheka waliokufa kishujaa Yanga wanaamini...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Marumo gallants hawana mpira wa kutisha ila ukiingia kwenye mfumo wao lazima wa kuadhibu. Na moja ya mfumo wao bora ambao wanatumia ni 5-3-2. Wanajaza mabeki wengi nyuma halafu wanakuwa...
7 Reactions
49 Replies
4K Views
Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya...
15 Reactions
465 Replies
22K Views
Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya...
7 Reactions
138 Replies
9K Views
Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC. Mechi nne kali za Yanga mwezi huu; Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC) Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa)...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya...
47 Reactions
143 Replies
12K Views
Yaani Uwanja wa Ndege wa Makao Makuu ya nchi Taa haziwaki (kumejitokeza changamoto ya Umeme) halafu bado unamuona Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa akimsifia Boss wake mpaka kutaka Kukufuru kwa...
1 Reactions
3 Replies
615 Views
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote. Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu...
1 Reactions
3 Replies
669 Views
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela. Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna...
16 Reactions
124 Replies
10K Views
Back
Top Bottom