Ni siku ya kipekee siku ya kihistoria katika soka la nchi yetu ambapo tunaweza kushuhudia timu kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza ikitinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani...
Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂.
Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani...
Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo.
Leo hii Yanga wamecheza mpira wa...
Hii timu kwa msimu huu imezidi kuwa tishio kwenye CAF champions league.
Uwanjani wanakupa kila unachokitaka, mpira mzuri, umiliki wa mpira, magoli mazuri na matokeo mazuri. Naweza kusema...
Kila mtu anajua kuwa Mmii mwarabu feki ni shabiki wa kutupwa wa Mnyama Simba S.C na Hilo nimelithibitisha Kwa nyuzi zangu nyingi humu jamvini.
Kitendo cha Yanga kutinga nusu fainali ya michuano...
Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi.
Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo...
Poleni sana kwa maumivu makubwa licha ya kufanikiwa kulinda magoli yenu mliyoshinda ugenini.
Wengi mlitarajia leo mtashinda angalau goli 3 ili kuwapungunzia maumivu ya michomo miwili ya kibabe...
Njia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi.
1. US Monastir
2. Young Africans SC
3. Real Bamako
4. TP Mazembe...
Huyu mwana jangwani wa kweli. Mwenye mapenzi na timu na kiboko ya simba.
Nimefurahi leo kumuona uwanjani. Natamani hisa za Yanga zikianza kuuzwa na yeye anunue za kutosha.
Kusema ukweli arsenal ni timu ya kawaida na ya wavulana na upepo umewaendea vizuri
Pamoja na ubovu wake arsenal odds za kuchukua ubingwa zipo kwake zaidi kuliko manchester city
Hizi ndio sababu...
Habari zenu..
Kwanza pongezi ziende kwako kocha wetu nabii,mechi ya kwanza uliwasoma wapinzani ukawatandika 2 wakiwa kwao,Leo hii umeona ulinde ulicho nacho..
Nakusifu kwa kuwa bingwa wa kusoma...
Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha...
Yanga itacheza dhidhi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Marumo Gallants ipo nafasi za mwisho ligi kuu ya Africa kusini ila imeweza...
Hii nchi imelaniwa, hivi nchi hii yumefanikiwa kwenye nini sasa? Kila kitu hatuwezi mpaka taa tu jamani zinazima!! Hii ni aibu sana.
Ni halali wazungu watutukane tu sisi ni wapumbavu, Kama vitu...
Kumbe nia yenu Kuu na Juhudi zote mlizofanya Wiki nzima kabla ya kukutana na Rivers United FC leo ni kutaka tu Mashabiki wenu AKILI HAMNAZO waujaze tu Uwanja wa Mkapa ili mpige Pesa lakini siyo...
Young Africa Again michuano ya klabu barani Afrika nae YANGA yumo, timu pekee kutoka Afrika Mashariki nayo ni YANGA, timu pekee kutoka Ukanda wa maziwa makuu nayo ni YANGA, timu tatu kutoka Kusini...
Habari za jioni.
Utabiri wangu ndio huo.
Simba na Yanga mechi itaisha kwa matokeo ya sare
Pia simba atatolewa na Waydad kwenye ligi ya mabingwa barani africa.
Na Yanga nayo itatolewa na...
Ushindi huu ukawe somo kwa mabingwa wapya wa robo fainali 2022/23 CAF "Makolo SC".
Msimu uliopita walitumia hadi uchawi ili kufuzu nusu fainali ya kombe la shirikisho. Lakini waliishia pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.