Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo. Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya...
29 Reactions
991 Replies
43K Views
[emoji3][emoji3] Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua. Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game mmebadiri gia angani kwa kudai Wydad...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Thamani ya kikosi, ubora na ukubwa wa Wydad ilitegemewa Wydad wangepata ushindi mnono wa zaidi ya goli tatu lakini haikuwa hivyo. Well done kwa Simba hakika wameonesha uwezo mbele ya Wydad AC...
3 Reactions
8 Replies
854 Views
NALIA NGWENA the big fan of Simba sc (shabiki Lia Lia). Nimeona itakuwa siyo desturi/ utamaduni mzuri Kama sijaimwagia/ kuipa maua yake Simba sc. Hakika inastahili kupewa maua yake tusisubiri...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Baada ya mchezo wa simba vs vipers zimeibuka nyuzi humu za kuanza kumpamba chama, yaani Kama hufatilii mpira wa bongo unaweza ukadhani ronadinho amezaliwa bongo au mess kaja kucheza simba kwa...
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Bahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Bila kupepesa macho NALIA NGWENA naweka pembeni ushabiki wangu natoa ya rohoni nakuwapa maua wachezaji vitasa waliokipiga kwa kujitoa kwa asilimia moja. Kwanza nimpongeze Mzamiru Yasin (kiungo...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Hello bosses and roses. Huyu kijana anachezea Memphis ni hatari, aina yake ya mchezo ni ngumu sana kuiona kwa wachezaji wengine sasa na miaka kadhaa iliopita. Na bado ni kijana mbichi, 23 years...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa. Hongereni mno na Asanteni...
12 Reactions
79 Replies
3K Views
Cheka sana lakini Omba yasikukute! Sababu kuu ya kusajiliwa mwalimu Robetinho ilikuwa ni kuifanya Simba ifuzu nusu fainali kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika. Yeye mwenyewe (Robetinho)...
7 Reactions
16 Replies
998 Views
Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Tofauti na umahiri wake wa kufunga Nimetambua Fiston Mayele pia ana nyota kubwa ya umaarufu. Beleke amesumbuwa saana kwa siku hizi za karibuni lakini hakuna kituo chochote kikubwa cha televisheni...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna watu wanadiriki kumfananisha Mayele na Jenerali Phiri, Mayele ni mshambuliaji na Phiri ni winga. Phiri kupambana na Mayele kwa idadi ya goli ni heshima sana kwake.
0 Reactions
15 Replies
857 Views
ANAANDIKA EMMANUEL MALIMA TWENDE NA DATA MICHUANO ya Kombe la CAF, ilikuwa ni michuano maalumu ya kila mwaka, iliyoanzishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kuzishirikisha timu...
3 Reactions
3 Replies
9K Views
Kwanza hongera simba. It was giant against giant na kila shabiki wa mpira ameelewa hilo. Underdog? Kwangu hapana hata Wydad walijua game hii ina maturity test na majukwaa ya mashabik wao...
18 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna kila dalili magoli ya jumla kuwa date kati ya Simba na Wydad Casablanca hivyo kusababisha njia nyingine ya kuamua matokeo katika mchezo huo, ni muhimu sana Simba kujipanga kwa jambo hili...
37 Reactions
99 Replies
7K Views
Simba Ndio wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye club Bingwa Africa Kwa Sasa Anayebeza mafanikio ya Simba Akaanzishe team yake, aipeleke fainali na sio kulalamika tuuu
2 Reactions
14 Replies
452 Views
Vita ya Mchungaji Mashimo na timu ya Yanga imeingia Episode nyingine. Kwenye video moja amesikia akitoa maneno makali kwa Ali Kamwe na Haji Manara. Namnukuu. “Leo ndo nimejua kuwa Yanga...
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Simba Sports Club among the top five African Clubs is nearly to execute the "Operation Casablanca" in few minutes to come. The surprise "packaged mission" is embedded in the Super African...
2 Reactions
8 Replies
517 Views
"Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom