Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga..... 1. Kujiamini mno Uwanjani 2. Uwezo...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Inadaiwa mshambuliaji Mason Greenwood ameitoa kauli hilo kwa marafiki zake Kutokana na kutofurahishwa na kuendelea kuwekwa nje wakati anataka kucheza. Greenwood (21) alikuwa akikabiliwa na...
1 Reactions
6 Replies
975 Views
Siku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Msishangae wataalam Inasemekana Goalkeeper mahiri wa Simba SC anao uwezo mkubwa kutumia miguu yake kudaka mipira.Sababu hii inapelekea kuruka upande wa kushoto tofauti na uelekeo wa mpira ili...
0 Reactions
3 Replies
480 Views
1. Sina cha kuwalaumu Simba katika mazingira yale kwenda kwenye hatua ya upigaji wa mikwaju ya penati sio kazi ndogo. Well done Simba. Wapewe maua yao 2. Simba inahitaji marekebisho ya kiusajili...
5 Reactions
19 Replies
822 Views
Kuna wachezaji Klabuni kwetu wana mikosi. Onyango ndio kila akipewa pasi mapigo ya moyo yanakimbia mithili treni ya SGR. Onyango ataendelea kutu-cost kwenye mechi kubwa siku zote mpaka pale...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Nikikumbuka tulijaribu kwenda caf federection cup nako pia tukaishia hapa hapa Naomba mniache nilie tu msinibembeleze [emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787] Hata angekuwa wewe kweli tayari...
4 Reactions
18 Replies
991 Views
Wakuu, Hivi hamuoni kila mwaka team yetu hii iliyokaa kama genge la vicoba namna tunavyojifaiagua na robo final kila mwaka wakati tunaishia kusindikiza? Sasa tumechoka mashabiki wa simba ambayo...
9 Reactions
23 Replies
873 Views
Wachambuzi wa mpira (mashabiki) hawataki kuweka wazi kuwa simba hawezi kutok mbele ya wydad. Inatumika nguvu kubwa ya kuwadanganya mashabiki wa Simba lakini wanasahau kuwa simba imezidiwa kila...
13 Reactions
85 Replies
3K Views
Mfa maji haishi kutapatapa, wahenga walishasema Baada ya Simba kufika hatua ya robo fainali ambapo tunajua kwamba hapo ndipo uwezo wao ulipoishia kwa misimu kadha. Sasa wameona kuendelea nusu...
5 Reactions
28 Replies
783 Views
Huwezi kuwaweka sawa watu wanaoshiriki na wanaoshindana. Mwambieni ukweli utofauti uliopo kati ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho. Mambieni waziwazi kuwa hawa wanaoshiriki Kombe la...
1 Reactions
4 Replies
479 Views
Baada ya kupangwa kwa droo ya robo fainali ya klabu bingwa Wydad dhidi ya Simba, kila mmoja aligeuka mtabiri wa mabaya kwa Simba kwa kuona kuwa watayaoga magoli mengi. Lakini ukiangalia reference...
3 Reactions
4 Replies
791 Views
Mnaacha kuwapongeza Simba SC kwa kumfunga Bingwa wa Kombe Klabu Bingwa Afrika ambalo umeishia njiani na kuangukia Kombe la Walioshindwa CAFCC unaanza kutabiri kuwa Safari ya Simba SC ndiyo...
15 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa kikosi dhaifu kilichojaribu kujitutumua mbele raja Casablanca kilipigwa nje ndani kwa jumla ya magoli sita kwa moja. Kila nikimtazama beki onyango na inonga naona kabisa ni ukuta mbovu...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Ulishawahi kujiuliza kwa nini huyu dogo anafanya vyema sana akiwa anacheza na timu za mikoani? Hivi kwanini akiwa nje ya Lupaso hana maajabu sana? Ushawahi kujiuliza kwanini ameshindwa kuperfom...
12 Reactions
69 Replies
5K Views
habari zenu ndugu zangu wanasimba kwanza nichukue fursa hii kuwapongeza kwa pambano la kibabe kabisa, tunakubali mpira unamatokeo matatu na ayo tumeyapokea. Hongereni wachezaji mmejitoa kwa...
1 Reactions
9 Replies
374 Views
Wachezaji wa simba huwa wanakutana hotelini kwani jengo halijulikani na jengo tunaloonyeshwa wamejaa wamachinga ,Mashabiki wa simba pia hawana sehemu ya kukutana na wala jengo wanalohisi ni lao...
5 Reactions
7 Replies
766 Views
Kwenu wana bodi hili liwe jukwaa kwa wacheza roullete,slots,black jack n.k tupeane story. Kimsingi mimi ni mhanga wa cassino na mchezo wangu mkuu ni roullete,hua nacheza cassino za hapa...
8 Reactions
89 Replies
15K Views
Amini usiamini uwepo WA kibunD unamvhngi karibia 30% ya performance ya timu nzima ya Simba. Jamaa anajua kuforce kingi Hadi manejo wanabakia kunywa maji mda wote Huyu jamaa ni Hatari mabeki...
3 Reactions
14 Replies
698 Views
Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba na wachambuzi wakiipongeza simba kuwa pamoja na kutolewa na whydad lakini wamejitahidi. Ikumbukwe kwenye hatua ya robo fainali akunaga cha kujtahidi...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom