Rais wa klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia Bw. Al Muammar amesema anajuta sana kumsajili mshambuliaji Cristiano Ronaldo na anasema kumnunua mchezaji huyo ni moja kati ya matukio mawili ya...
Hebu tuweke unafiki pembeni, hii game Simba atachapika goli za kutosha si chini ya goli 6+
Wanasimba wote popote walipo wanatetemeka sana maana kila wakiangalia rekodi ya Wydad nyumbani kwao pale...
Baada ya Kumsoma vyema Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nimegundua kuwa Kocha Mwerevu ( Genius ) sana.
Kiufundi hakutaka Kumuingiza Kipa Beno Kakolanya aliyekuwa Nje ( Sub ) kama ambavyo...
Afrika kuna tatizo kubwa sana la kudanganya umri,Mtu kijeba mishipa imemtoka eti ana miaka 24 kazaliwa mwaka 1998
Huyo nahisi lengo lake ni kwenda ulaya hivyo wanashusha umri makusudi
Nchi za...
Yanga wasidhani kazi imekwisha, wanaohitaji Umakini wa Hali ya juu Kushinda mchezo ujao dhidi ya rivers, Kama wataleta mzaha wataambulia kichapo nyumbani na kutupwa nje ya mashindano
Habari wakuu.
Leo nimpe somo Ahmed Ally.
Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba.
Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa.
Nimejaribu...
Mchungaji Komando Mashimo amemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Mashimo amesema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya simba na yanga lakini...
Huyu jamaa anayejiita Mchungaji Mashimo amesababisha hasara baada ya wadau wengi wa Uswahili kucheza kamari wakiamini kwamba maneno yake yana ukweli wowote .
Huyu anapaswa kukamatwa na kuhojiiwa...
Aisee, hawa Makolo kwanini wakishinda fujo ni nyingi town but young africans hatunaga huo ushamba,, yaani tunafanya slow but sure 🤣🤣 sisi ndio vidume sasa
Narudia tena SISI NDIO VIDUME
" Tuliwaomba Wydad Casablanca watuzimie kelele ( kwenye mechi ya kesho dhidi ya Simba ) hawakusema maneno mengi wakasema inshallaah"
Ally kamwe via TBC FM
Dhihaka zilikuwa nyingi dhidi ya Denis Kibu ila katika wachezaji ambao wamekuwa wanacheza kwa kiwango kikubwa kwa miezi minne na zaidi Kibu ni mmoja wao. Najivunia kuwa mmoja wa watu ambao...
Jinsi kuhesabu namba kiarabu[emoji39][emoji3][emoji1787]
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven...
Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza.
Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili...
Pamoja na utani wetu wa jadi, bado mchezo wa leo una maana kubwa sana kwa nchi na hasa kwa maisha ya wachezaji wenyewe wa Simba wanaovuja jasho. Kwa mantiki hiyo, nawatakia kheri.
Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au?
Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
Ni saikolojia ndogo tu! Kuufanya uwanja wa ugenini katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa, na kuwaona washangiliaji wa timu ya Wydad kama kikundi cha Kidedea!! Wakifanikiwa hao Simba watajiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.