Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hakika yanga inastahili kupewa maua yake kwa hatua kubwa/viunzi vigumu ilivyo viruka nakufika hapo ilipo hakika inastahili pongezi maana imeliheshimisha taifa kwa ujumla. Kupiga hatua kwa yanga...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
𝗧𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙𝗔 Wakuu ....kitaalamu tunaitaje hii Taarifa Kutoka Morocco hadi sasa tayari tiketi zote majukwaa ya zone 4 na zone 7 zimekwisha.[emoji119]Na leo tiketi za Zone 5 zimekwisha Sasa zilizobaki...
8 Reactions
176 Replies
9K Views
Klabu ya Ndanda ya Mtwara imetangaza kujitoa katika Ligi Daraja la Kwanza (Championship), huku sababu ikielezwa ni ukata kiasi Cha kushindwa kumudu gharama za kujiendesha. Ndanda imekuwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Arsenali si niliwaambia kwamba ninyi ubingwa wenu ni ule ule wakukosa vikombe,kama mnawaza kikombe basi ni cha uji sio EPL
4 Reactions
13 Replies
628 Views
Kama Chelsea inataka kujikwamua kutoka katika shimo walilotumbukia kocha Eniruque ndiye ambaye anaweza kuibadilisha Chelsea tofauti na hapo was filed maumivu Habari zinasema alinyimwa kazi na...
1 Reactions
4 Replies
283 Views
Hebu viongozi wakutane mfanye haya: 1. Mshirikiane mjenge viwanja vyenu 2. Muanzishe vitega uchumu kuwaingizia kipato 3. Wanunulieni wachezaji wenu na benchi la ufundi magari na kuwajengea nyumba...
1 Reactions
4 Replies
329 Views
Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022. Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini...
33 Reactions
213 Replies
15K Views
Baada ya kuendelea kuifanyia tathimini ( uchambuzi) mechi ya wydadi Casablanca ( mabingwa wa Africa) na Makolo mabingwa wa .mapinduzi cup nimekuja kugundua yafuatayo Kwa mpira wa spidi wanaocheza...
8 Reactions
70 Replies
4K Views
Mpaka sasa nje ya uwanja Wydad anaongoza mbili kwa moja, ngoja tusubiri ndani ya uwanja tuone mambo yatakuwaje.
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu, Game ya Casablanca ni ngumu mno! Lazima uwe na wachezaji waliofiti kifizikia na kiakili muda wote wa mchezo. Supercoach Robertinho ni fundi ila natoa ushauri mdogo tu. Hiki ndio kikosi...
3 Reactions
67 Replies
3K Views
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la...
57 Reactions
115 Replies
7K Views
Nawashauri hawa viongozi wetu wa Yanga wajitahidi juu chini wajenge uwanja wetu, ni uwekezaji mzuri sana. Jambo hili walipe kipaumbele.
1 Reactions
21 Replies
1K Views
BONDIA Hassan Mwakinyo amesema sababu ya kutokumpiga kwa KO, Muvesa Katembo wa Afrika Kusini ni kutokana na bukta yake kumbana. Katika pambano hilo lilofanyika juzi katika Uwanja wa Jamhuri...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Mods sahihisha kichwa cha habari "Uliosababishwa" Klabu kubwa Nchini TZ kabla ya kusafiri leo 24 April.Imeandikia barua ya malalamiko CAF kufuatia kitendo cha mashabiki wa wydad kusambaza moshi...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Ameandika Mwanaharakati Yericko Nyerere "Hii haikubaliki, hii ni dhihaka, dharau na kutweza utu wa Msemaji Mkuu wa @yangasc ndugu @alikamwe na Mkuu wa Digital ndugu @privaldinho ambao ndio wana...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Hutaki unaacha 🤣🤣🤣
12 Reactions
62 Replies
3K Views
IItazameni Game ya seminal final 1st leg Wydad vs Kaizer chiefs mkopi na kupaste lazima mtoboe. Kazi kwenu.
0 Reactions
4 Replies
643 Views
Ligi Kuu ya Uingereza inaelekea ukingoni, zikiwa zimebaki mechi kadhaa, Arsenal anaongoza ligi kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi moja zaidi ya Man City. Man City yeye amebakiza mechi 10...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa...
3 Reactions
119 Replies
10K Views
Back
Top Bottom