Kwenye Kurasa zenu mmeweka Saa 4 Kamili, Mratibu wa Simba SC Abbas Ally jana katika Mahojiano na Vyombo vya Habari vya Tanzania kasema ni Saa 3 na siyo Saa 4 kama ilivyotangazwa awali, Leo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo...
Simba mkubwa
Mechi zote za EPL, Spanish PL, Portuguese PL, Bundesliga, Serie A etc zote zipo kwenye makampuni karibu yote ya kubetia
Tena mpaka mechi za mwezi August zipo
Why not ya Mnyama...
Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, Bondia Mtanzania, Ibrahim Najum, amefariki dunia leo Aprili 27, 2023 baada ya kukaa hospitali kwa takribani siku tatu akipatiwa matibabu.
Bondia huyo Aprili...
Tuliaminishwa na wachambuzi kuwa Simba imelamba dume Kwa kusajili mchezaji wa timu ya taifa ya Ghana iliyokuwa inajiandaa na kombe la dunia na ikasemekana atajumuishwa kwenye kosi la Black Stars...
Neno Pele limeingizwa katika kamusi ya Michaelis ya kireno.
Neno hilo limetafsiriwa kama ifuatavyo:
"Kitu au mtu ambaye siyo wa kawaida, kitu au mtu ambaye kwa mujibu wa ubora, thamani au ubora...
Kuna Viongozi wa Simba wanamsumbua Simon Msuva, huku muda mwingi wa mapumziko anapotoka mazoezi wakimpigia simu na kumdadisi awaambie baadhi ya mambo yanayowahusu wydad, tukumbuke kuwa Msuva...
Nawapongeza Simba kwa kwenda mapema huko Casablanca kuzoea hali ya hewa hasa ya majira ya jioni ila faida hiyo ya kwenda mapema ina hasara zake. Ningeweza kupendekeza mazoezi yangefanyikia hata...
Mwanzoni Ronaldo alipojiunga na timu ya Al-Nassr huko Saudi Arabia niliona future kubwa kwake na kwa timu yake kwani aliingia na impact kubwa sana kwa timu hiyo. Alitupia mabao almost kwenye kila...
Al Ahly amewahi kuchukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho mara moja tu tena miaka 9 iliyopita
Wydad Casablanca hajawaji kuchukua Ubingwa wa Shirikisho hata group Stage hajawahi kucheza
Mamelod...
Ni majina mangapi ya utani ya klabu ya Yanga umeshawahi kuyasikia maishani mwako?
Kama wanavyosema wahenga, ukiona nyani mzee ujue amekwepa mishale mingi. Basi kwa ukongwe wa Yanga ni lazima...
Ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, Hawa ndugu zetu wanatia huruma sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi hawajui kwamba all tickets are sold out??
Halafu waarabu hatunaga ushamba wa kushangilia...
Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo.
Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo.
Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata...
Simba wana nafasi kubwa leo ya kufuzu nusu final
Ninawaombea Mungu awasaidie kufuzu nusu final leo
Ila kinacho nipa stress na kicheko ni hiki hapa
-4 =-1-1? (-x-)...
Hawa Mikia wamekuwa na kiherehere sana cha kuwahi kuanzisha nyuzi za live updates hata mechi zisizowahusu. Wanakaa kusubiria saa 6 usiku kuamkia siku ya mechi wanaanzisha Uzi.
Sasa nawauliza je...
Yaani huwaoni kabisa humu jf, sijui wamepatwa na jambo gani? Huko mitaani ndio kabisaa hawataki hata kujua kama Kuna mechi ya marudiano.
Mpira ni furaha ila kwao umegeuka ni mateso.
Wanaomba iyo...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepokea maombi kutoka nchi sita zinazowania uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 ikiwemo Tanzania.
Jumla ya waombaji sita wamefanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.