Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nami GENTAMYCINE nauliza je, wakiongezea na High Pressure yaani tucheze Mifumo yote Mitatu ya Low Block, High Pressure and Counter Attack kwa mfumo wa 4-1-4-1 Mwarabu hatochapika Kwao Mohammed V...
19 Reactions
79 Replies
6K Views
Kiungo wa Arsenal Thomas partey amesema wapo tayari kushinda mechi ya katikati ya wiki ili kutangaza ubingwa mapema Amesema "tupo tayari kupambana na kushinda mechi hiyo kujiweka katika mazingira...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Nafikiria kwa ile form aliyokuwa anaionesha kipindi mpaka anaacha kucheza Yanga, hivi sasa kwenye Robo Fainali za CAF CC si angekuwa ni katika wanaotajwa vizuri kuliko akina Mwamnyeto na Bacca...
4 Reactions
9 Replies
933 Views
Yanga ndiyo timu ya kwanza kuingia makundi Klabu Bingwa mwaka 1998 na pia timu ya kwanza kuingia makundi Kombe la Shirikisho mwaka 2016. Yanga ndiyo timu ya kwanza kufika hatua ya nane bora Kombe...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
3 Reactions
21 Replies
1K Views
haya ni mambo muhimu sana kwa maendeleo ya yanga ndani ya miaka 10 ijayo: 1.kujenga uwanja 2.kumnunulia gari kila mchezaji 3.kununua ndege kwa ajili ya usafiri 4.kujenga sanamu ya tabu mangara...
1 Reactions
8 Replies
422 Views
Mashabiki wa simba wanasema mpira unamaajabu sikatai ni ukweli na maajabu ndio kitu yanafanya mpira upendwe. Ila sio kama mashabiki wa simba munavyoamini kua maajabu yapo mda wowote...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
kwa wale wawekezaji watatu naomba wananchi tumshawishi dangote awe mmoja wapo,ili timu ipige hatua ya haraka sana
1 Reactions
0 Replies
275 Views
Japo nafasi zao kiufundi haziendani lakin sio kigezo Cha mchezaji kushindwa kujifunza Kwa wengine Chama ni miongoni mwa wachezaji wetu Bora ....ila Kuna vitu huyu mchezaji wetu anazingua ...
13 Reactions
80 Replies
3K Views
Nini Kilitokea Kwenye LigiKUU Tanzania Msimu Wa 1993. Naona kama rekodi haziko sawa.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Sudan iko kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, hii vita itaua mpira wa miguu kwani kuna timu kubwa 2 ambazo huajiri wachezaji na Kocha kutoka nchi mbalimbali. Je, nini athari ya vita hiyo kwa...
0 Reactions
4 Replies
952 Views
Baada ya kushiriki mazoezi na timu kwa miezi kadhaa ,Kocha mkuu wa Simba SC aomba kiungo fundi HASSAN DILUNGA aongezwe katka kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao wa NBC PL na mashindano mengine...
3 Reactions
8 Replies
890 Views
Tangu kuongoza kwa ligi na matokeo waliokuwa wakiyapata, kuna kina sisi ambao tulikuwa tunaona ni dharau sana kwa haka katimu kukalia usukani. Anyway EPL ni mbio ndefu sana, tunategemea katakaa...
0 Reactions
4 Replies
568 Views
Niko nashuhudia hapa huyu msemaji wa Yanga akikabidhiwa pesa za mheshimiwa Rais km ahadi yake ya Kila goli, haya maneno anayoongea kuhusu wapinzani wao Simba siyo ya kizalendo. Yani Hana utofauti...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
"Mimi kama mtanzania ninatamani sana kama nchi tuwe na timu mbili katika nusu fainali ... lakini nikikumbuka imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako basi nafunga mdomo wangu. Lolote litakalokuwa...
1 Reactions
8 Replies
552 Views
Mabingwa watetezi wa EPL, Man City watakuwa nyumbani Etihad kuwakaribisha vinara wa ligi hiyo Arsenal. Arsenal amemuacha Man City kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi mbili zaidi ya City. Mara...
5 Reactions
12 Replies
688 Views
Mtu akifanya vizuri tumsifie. Ndio lengo la kuanzisha tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Simba Sc. Mbali na kulamba milioni 2 ni heshima kwa mchezaji mwenyewe. Leo Mzamiru ametangazwa kuwa mchezaji...
14 Reactions
80 Replies
5K Views
⚽️KATAA KUDANGANYWA KATAA KATAKATA UONGO⚽️ Jamani kwa mliozaliwa miaka ya 2000 nataka niwape somo kidogo, hakuna timu kutoka Tanzania iliyowahi kufika Nusu Fainali Michuano ya CAF. 1992 Simba...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Mabingwa wa kutandaza soka tamu, soka la kuvutia, soka la kumtoa nyoka pangoni, soka ice cream, soka lenye viwango vya Dunia. Hapa nawazungumzia Young Africans. Baada ya kupokea kichapo kikali...
27 Reactions
1K Replies
57K Views
Leeds (home) Liverpool (away) West Ham (away) Southampton (home) Man City (away) Chelsea (home) Newcastle (away) Brighton (home) Nottingham Forest (away) Wolves (home) Hii ndio inaitwa its in...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom