Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hapa Leo sitaongelea ushabiki kabisa bali tutazungumza kuhusu mpira na mstakabali wa nchi yetu. Basi nieende kwenye point moja kwa moja nchi yetu ya Tanzania inawatu takribani milioni 60, na...
0 Reactions
9 Replies
733 Views
Huyu jamaa sasa ameanza.kuboa. kuchwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Yanga. Huo ni uswahili kaka. Vichambo vyako vinaboa sana. Jikite kwenye kuipromote timu yako Maneno yako ya shombo dhidi...
12 Reactions
92 Replies
9K Views
“Nimesikia maneno maneno yameanza, sijui Kombe dogo, sijui vipi, sisi ambao tumesoma sana Dini hiyo ni ishara ya mwanadamu anayeelekea Sakaratul Maut, yaani mwanadamu anaelekea kwenye siku zake za...
4 Reactions
77 Replies
3K Views
Timu haina Aucho, haina Diarra, haina Aziz Ki, haina Morrison, haina Feitoto, haina Juma Shaaban, kocha Nabi hakuwepo na bado imemkafini Mazembe kwao. Hata kama Mazembe ni wabovu lakn bado Yanga...
44 Reactions
113 Replies
6K Views
Kama kuna mdau hapa ana taarifa juu ya mpango wa Serikali kujenga na kukarabati viwanja vipya vya michezo aje atupe taarifa.
0 Reactions
5 Replies
978 Views
Iwapo Simba atakaza kipindi cha kwanza wakatoka 0-0, basi kuna uwezekano mkubwa wa Mnyama kutinga nusu fainali. Kikubwa wakabe kwa umakini, faulo zisizo na akili wasizifanye katika maeneo ya...
12 Reactions
113 Replies
7K Views
Kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya watu wengi kuamini kwamba Simba ni timu bora kuliko Yanga. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia kwamba michezo ni mchezo na matokeo yake yanaweza kutofautiana...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwanza nikiri kwamba nitazungumza bila unafiki na kwa nia ya dhati kabisa naomba nitoe mtazamo wangu kwamba tukiwa kama moja ya klabu inayokuja kwa kasi nadhani wanasimba tuna mengi ya kujifuñza...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi. Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa...
2 Reactions
13 Replies
891 Views
Inasemekana ( bado nathibitisha ) kwa Chanzo changu Aminika kilichopo Kikosini nchini Nigeria kuwa Mchezaji wa Yanga SC Bernard Morisson alifukuzwa Kambini na kurejeshwa Dar es Salaam Tanzania...
11 Reactions
93 Replies
8K Views
Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo. Wingi wa...
2 Reactions
2 Replies
693 Views
Wachezaji wa Timu ya Tottenham wametoa taarifa kuwa watawarudishia mashabiki wao gharama za ticket baada ya kushuhudia wakifungwa kwa goli 6 na Newcastle Timu hiyo tayari imemfukuza Kocha wa...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
Kwa wale tu mliocheza Mpira ngazi za Ligi za chini, kati na hata Kubwa na mliokuwa / mlioko Ligi Kuu sasa mtakubaliana nami kuwa aina hii ya Uchawi umetumika na unatumika mno Mipirani. Kitu pekee...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa mechi mwishoni mashabiki wa Waydad walifukiza Moshi na kusababisha mashabiki kutoona na hata waliingia VIP kufanya vurugu ambapo kwenye uwanja wao wa nyumbani...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kocha Christian Stellini ambaye alipewa mikoba kuongoza timu hadi mwisho wa msimu baada ya kufukuzwa kwa Antonio Conte, naye amefikia ukomo wa ajira yake ikiwa ni wiki chache tangu alipopewa ajira...
2 Reactions
3 Replies
653 Views
Wachezaji wale wale, Kocha yule yule na Benchi lile lile lililo mfunga Ihefu (kupiga bomu mochwari na kujisifia wameua[emoji23][emoji23]). Simba kawaonea Ihefu, Mtibwa, Horoya na Vipers ila...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Ukweli mchungu/ukweli ambao wanasimba hawataki kabisa kuusikia masikioni mwao ni ukweli ambao ukiuzungumza utapigwa mawe, matusi na kejeri za hapa na pale. Kwa hali waliyo nayo...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia...
1 Reactions
58 Replies
2K Views
Nyinyi ni watu wa mpira na mnaelewa maana ya Matokeo mliyopata Leo. Nyinyi mmeuishi mpira naomba mkamwambie mwekezaji ndugu MO ukweli na Nini anatakiwa afanye kuliko kutolewa bila faida yoyote...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha. Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo...
4 Reactions
8 Replies
754 Views
Back
Top Bottom