Y
YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi...
Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc.
Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
[emoji3578]Anaandika ZAKAZAKAZI
"Arsene Wenger, kocha wa zamani wa Arsenal, aliwahi kusema,
When you give success to stupid people, it makes them more stupid
Unapowapa mafanikio watu wapuuzi...
Kufungwa na simba mechi ilopita ilikuwa ni blessing in diguise. Yanga baada ya kufungwa mechi hiyo na watani wake wa jadi kocha alichambua udhaifu wa timu kiufundi kuanzia idara ya ulinzi...
Hiki kinachoendelea hapa TBC juu ya pambano la Mwakinyo sijui tukiite kitu gani. Mambo yako ovyo ovyo. Eti wapiganaji wa mapambano ya utangulizi ni wabunge, na spika juu tena kakimbia pambano dah.
Jean Baleke ni mchezaji mzuri lakini bado hatoshi kuisaidia Klabu katika nyakati ambazo Klabu inahitaji matokeo.
Kwa aina yake ya uchezaji anaonekana ni mchezaji wa kuvizia vizia tu, anayekosa...
Huyu mchezaji mpya wa vipers kama kweli ana miaka 24, je, we ndugu mwana jamii sport utakuwa na miaka mingapi?
Kwa hali hii me nina miaka 12, namiliki mke na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja.
1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao.
2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao
Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa...
Wana JamiiForums nina hii hoja, ''Je Kuna ugumu wa private sector kujihusisha na uwekezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania?"
Kuachana na hoja ya kwamba mpira haulipi lakini je kuna ''...
Kongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali.
NALIA NGWENA the great thinker...
Salaam wakuu.
Jana nimeangalia baadhi ya mechi za kombe la shirikisho ndipo nikaamini kweli ile ni ligi ya mazezeta yaliyoshindwa (LOOSER) kuna timu dhaifu mno vuta taswira timu inamaliza dakika...
Juzi wakati watu wanajadiliana ripoti ya mapato na makato ya mechi ya Simba na Yanga, kuna uzi nilitoa comment nikasema ile ripoti imeletwa maksudi kuiathiri Simba. Kuna mtu akanijibu kitu...
Katika moja ya Habari Uza yao ya Leo wameandika Kipumbavu kuwa Thamani ya Mchezaji wa Yanga SC aitwae Yanick Bangala inainunua Klabu nzima ya Rivers United FC ambayo Wanacheza nayo leo Jioni...
Hawa River sijui wamefikaje robo fainal. Hii timu hata Ruvu shooting Wana afadhali
INAONEKANA ligi ya wapopo ni dhaifu kama ligi ya visiwani Zanzibar.
No hard feeling, Yanga anatakiwa kuvuka...
Kwa hakika huyu mchezaji (sijapata jina lake) amefanya kazi ya ziada katika upatikanaji wa goli la pili.
Amekimbia kwa speed kali na mpaka anatoa pasi, ni wazi alikuwa ametumia maximum energy...
Hivi ushawahi kujiuliza ni kwa nini ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhan ligi zote za soka Zanzibar zinasimama?
Ipo hivi; kila mwaka, kipindi cha mfungo wa Ramadhan, soka visiwani Unguja na Pemba...
Kama ulifuatilia mechi ya Jana Kwa macho ya kiuchambuzi basi utakuwa umeelewa approach waliokuja nayo wydadi Casablanca.......waliokuja na approach ya kuisoma gemu ya wapinzani na sio kushambulia...
Wanayanga baada ya mechi na Rivers United na kupoteza watasema:
1) Wachezaji hawakuwa na morali baada ya kufungwa na Simba kwenye derby.
2) Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari na nguvu nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.