Zahera ameisaidia Yanga kupata mafanikio kuliko mtu yoyote. Yule papaa ni mchawi.
Kuna kipindi Yanga hawana hata hela ya kula ila timu inashinda anaenda kuwanunulia mihogo na juice ya jero...
Nashindwa kuelewa Yanga kunani? Form ya timu yetu imeshuka sana. Huku wenzetu wakizidi kupata kasi. Kocha Nabi sidhani kama ana shida, bali wachezaji mliosajili mmesajili kisiasa.
Aziz Ki ukiacha...
Bondia Twaha Kiduku amefanikiwa kupata ushindi huo na kutetea Mikanda ya PST na UBO Inter Continental, Uzito wa kati Super Middleweight (Kilogram 76) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Tanzanite...
Waiting is over .Tunatarajia kuona ngumi kali kati ya Gervonta Davis vs Ryan Garcia.
Kila mmoja hapo ana silaha zake muhimu kwa ajili ya kummaliza mpinzani wake.
Gervonta ana ngumi nzito ,ni...
Nimebahatika kuziona fainali 5,lakini hii ya Argentina vs France nimeipenda,pale France wanaporudisha bao 2,na ule umakini wa Refarii alipomwona THURAM Marcus kujaribu kupata Penalty akamnasa bila...
Jitu linaingia Kibanda Umiza halafu Wachezaji wa Wydad Casablanca FC wanakosa Magoli linaumia kweli kweli wakati lenyewe lina Kazi kweli leo kwa Wapopo ( Wanaijeria ) ambapo nina uhakika...
Baada ya kutoka sare na vibonde Southampton , sasa ni dhahiri kwamba mbio za ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu zimekwisha kabisa , na kuna hatari kwamba nafasi ya pili nayo inayoyoma ...
Asalaam Aleykhum , Eid Mbarakha .
Baada ya Salamu hiyo na baraka hizo za Eid el Fitri naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Nimepata taarifa kwamba Timu yangu ya Simba imemteua ndugu Tulia Ackson...
Kulipita andiko kama hili bila kuli-share huku,nitakuwa sijaitendea haki akili yangu!
Nakupa hongera
Yericko Nyerere!
Ila nakukumbusha kwamba,sasa uanze kuelewa usahihi wa Magufuli kwa ule...
Huwa nasikitika sana kumuona Gadiel Michael pale simba, akipewa kazi ya kwenda kufukia hirizi kwenye viwanja na kupelekea kupata tuhuma na kufungiwa na TFF.
Lakini suala la kupata namba pale...
Ali kamwe:
" Kesho tuna mechi ngumu sana wala sio utani, Mimi ni Mtu wa kutamba sana lakini nimecheki kwenye darubini yangu kesho tuna mechi ngumu sana , kwanza tunacheza na timu yenye rekodi...
AMRI KIEMBA|+
🗣“Kwa mazingira na namna ambavyo hizi timu zilivyo [Simba na Wydad Casablanca] na kwa heshima ya mpira wa miguu Simba inaweza kushinda kwa Mkapa.”
🗣“Kwa takwimu sasa ndio unakuja...
Baada ya mke kupigwa siku chache zilizopita,kaanza kujishebedua kuwa yupo mmewe mkali kuliko ataweza kuwapiga,Cha kushangaza Leo na mme kala kichapo!!
Sasa huyu mwanamke sjui anasemaje?
Wakuu salaamu
Najua kuna watu wa karibu na kocha wa Simba sc, hivyo ujumbe huu utamfikia. Ni hivi Phiri ana kitu na ili afike mbali apewe mechi tatu mfululizo ili kumpa confidence.
Sisi...
Kwa ushindi kiduchu waliopata leo ni wazi simba wamejikatia tiketi ya kufurushwa kwenye mashindano ya Caf champions league wale wydad sio watu wazuri kule morocco wakikosea kabisa ni 3 bila au 3 kwa 1
Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco.
Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi...
Simba imeweka rekodi ya kuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa kwa uwiano wa magoli katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya kuichakaza Horoya AC magoli 7-0 kwenye Uwanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.