Hakuna asiyejua kuwa mchezo wa derby wowote pale duniani hata ukiwa Bora namna gani unaweza ukafungwa tu.
Naikumbuka yanga akina balama mapinduzi na ditram nchimbi (yanga tia maji tia maji) yanga...
Nichukue nafasi hii kuipongeza River United kwa Kupangiwa na Mpinzani yoyote yule aliyepatikana na kuna Uwezekano aliyepangiwa nae akapigwa nyingi Nigeria na za kutosha pia Kwao na kutupwa kabisa...
Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
Fiston Kalala Mayele ni mmoja, The King, GSM- Goal Scoring Machine, Mtambo wa magoli, Jini.Kuna tetesi zinasema eti yule ni Benzema kavaa kinyago cha Mayele, wamemshtukia! 😄😄😄.Naishauri timu Ya...
Kocha Nasridine Nabi ni kocha wa viwango, ni kocha asiyetabirika, ni kocha master sana wa kuusoma mchezo na kumalizia kazi yake kwa uweledi mkubwa, Leo kaingia uwanja wa Uyo na back 3 akijua...
Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho.
Mwanaspoti...
Sema bongo wachambuzi Ni washabiki tu. Ukiwafata na ushabiki Ni hakuna kabisa vitu kichwani. Muda wote kuiponda Simba oh Haina timu.
Simba imemchukua baleke. Hata combination haijakomaa. Kafunga...
Ni aibu kwa timu kubwa kama Wydad kufanya vurugu katika uwanja wa Mkapa huku wakiwa wageni. Natapa taabu sana kuamini mchezo wa marudiano huko Morocco jinsi utakavyotawaliwa na vurugu kubwa kwani...
Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo,
Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha...
Najua jambo hili ni ngumu kidogo kuingia masikioni mwa mashabiki wa simba.
Maana wamekariri kuwa yanga kimataifa si lolote ni kama Mbeya kwanza tu wakiwa kimataifa ila ukweli ni kwamba Yanga...
Ndugu Haji Sunday Manara leo kwenye Press Conference Klabu bingwa ya kihistoria ametanabaisha kuwa kwa mipango aliyoishuhudia ndani ya klabu hiyo anaamini kuwa kama kuna klabu yeyote Afrika...
Nimeona baada ya mechi kuisha mashabiki wa simba wakijifagilia kumfunga whydad kwa mkapa kana kwamba wao ndio timu ya kwanza kumfunga, Ni kawaida ya watanzania kusifia vitu vidogo vidogo pindi...
Kuna watu wanadai Simba ni mbovu Simba siyo mbovu ni mfumo wa uchezaji ndio umebadilika. Ingawa kosa hili la kubadili mfumo ameuleta Mo simlaumu kwa kuwa nae apenda Simba yenye mafanikio ingawa...
Nimetazama game ya Simba vs Wydad. Sasa ivi nawatazama hawa Al ahaly vs Raja. + CR Belouizdad vs Mamelody aisee izi timu nane zote ni HESHIMA
Ila kule ktk kombe la Looserniko na mashaka migoli...
Vilabu vikubwa vyenye hadhi Africa vimecheza siku ya leo michuano ya CAFCL.
FT:Kabyile 0-1 Esparance.
FT:Simba 1-0 Wydad AC.
Mechi zinazoendelea kuchezwa muda huu ni Al ahly Vs Raja Casablanca...
YANGA KUFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA 2022/23?
Mwaka 1974 Klabu ya soka ya Simba ilipewa jukumu la kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Simba ambao walipata...
1. Mayele kukosa kiatu cha ufungaji bora
2. Sakho kushinda tuzo ya goli la kideo la CAF
3. Jezi zenye makaburi na daraja la Mfugale
4. Mkataba wa M-Bet kuwa mnono kuliko wa SportPesa
5. Manara...
Boss wa Simba (mo dewji), kwa hivi Sasa yupo kimya hatutosikia kelele/Wala kulia kwenye gari kwa kuwa Simba inapata matokeo mwamba yupo chimbo anasubiri Simba ipigwe aanzishe tour yake yakuwananga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.