Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 -...
Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli.
Tunahitaji kuwa na...
Simba tengenezeni timu timu ni ya kuunga unga Sana na wazee ni wengi kwenye timu
Haya mambo ya tumetolewa kiume ni utoto jengeni timu ya kushindana haswa mlitakiwa kupata goli ugenini kuua game...
Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni ...
Hawa ndugu zetu Huwa lazima watafute mtu wa kumuangushia jumba bovu, Yaani Huwa wakifungwa lazima watafute mchawi wao.
Kamera ya bibi yangu imenionesha leo baada ya mechi babu Onyango ndio...
Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa
Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa...
Kama Simba Sc itafuzu kwenda nusu Fainali hapo Ijumaa basi mimi kwa utashi wangu mwenyewe nitaenda mitaa ya msimbazi kukabidhi kadi yangu ya YANGA (klabu yangu pendwa)na kuchukua rasmi kadi ya...
Habari zenu..
Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo..
Wydad 1-simba 1...
Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu..
Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia...
Kwa msimu wa pili mfululizo Simba wanatolewa kwa changamoto ya mikwaju ya penati katika hatua ya Robo Final kwenye mashindano ya CAF.
Nyakati kama hizi ndio unakumbuka kipindi ambacho Juma K...
Yanga kwa maana ya viongozi na wachezaji, Ushindi wenu na dhidi ya Rivers United kule Nigeria ni chachu tu kuelekea safari amnayo bado ni mdefu pamoja na kuonekana kama safari iliyobaki hatua...
Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli...
Amini amini nawaambieni yeye simba hata angekutana na ruvu shooting kwenye hatua ya robo final Club bingwa au caf federection
Simba wangetolewa tu
Any way tumekufa kiume [emoji1787][emoji28][emoji23]
Hamjambo wote..
Tangu mwaka 1998 umri wa mtu mzima mwenye familia yake klabu ya Yanga haikufika hatua ya makundi kwenye michuano ya Afrika.
Bila aibu ndo wao wanapiga kelele eti Simba wanaishia...
Ukweli huu mchungu ni Kama mwiba wa samaki ulionasa kwenye koromeo, unauma sana kila uanpomeza mate au maji.
Ndiyo lakini lazima tuuseme ili kuleta maendeleo (improvements) ya mpira wetu katika...
Aliyewahi tupeni data, ukiwasikia utafikiri ni club kubwa Afrika, kumbe hata makundi Club Bingwa hawajawahi kufika
Simba ndo club kubwa ukanda wa Cecafa wengine ni underdog tukutane CAF Superleague
Simba kuishia robo ndiyo malengo yao, hakuna wa kushangaa kwa hicho walicho kivuna nafikiri hata kwenye maandalizi yao na benchi la ufundi ndiyo hicho.
Hakuna sababu ya kumpa pongezi mtoto ambaye...
Soka la bongo halitaendelea kamwe kwasababu ya ubovu wake kuanzia kwny timu zake unafiku uzandiki ushamba
Hivi hizi simba na yanga n timu za Kenya na Tanzania au? maana ushabiki unazidi Sasa si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.