Kuna ulazima gani kucheza mechi usiku wakat taa zinasumbua??
Kwa nn mechi zisichezwe jioni ili kuepuka usumbufu..??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wachambuzi feki wamebaki kuandika viroja na kutukana serikali tu kwa kutouangalia uwanja, tunataka mtuambie hii mechi ikivunjika kwa sababu ya taa CAF watachukua hatua gani?
Utopolo wameshapoteza...
Wenzetu mwendo wameumaliza kimataifa Sasa Kuna uwezekano mkubwa uliojaa chuki (uzandiki) na wivu wa hali ya juu Kama uonavyo mama wa kambo anapoona mtoto wake anafeli halafu wa mwenzie anafaulu...
Arsenal inacheza vizuri sana mwaka huu, halafu ina hamasa kubwa. Inaongoza kwa pointi 43, Man city inafuatia kwa mbali kwa pointi 36. Imefungwa mara moja tu na kutoka sare mara moja!
Klabu...
Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali...
Napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa wanalunyasi fc kwa kutwaa tena kombe la "kufa kiume". Hakika mmepambana kwa jasho na damu.
Tunaomba ufanyike uwekezaji mkubwa zaidi baadaye tunaweza kuja na...
Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers...
Hali ya usalama imezidi kuzorota nchini Sudan baada ya kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Kila shughuli ya kibinadamu imesimama. Wasiohusika na vita wanakimbia kunusuru maisha yao.
Hali hiyo...
Jamani Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu so mtuache na makelele yenu na matarumbeta, filimbo cjui manini tena. Mnakera sio wote tunapenda mpira so tuheshimiane coz wote tukianza...
UONGOZI wa Klabu ya Fountain Gate FC, imemripoti kwenye Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mwenyekiti wa timu ya Kitayosce FC, YUSUPH KITUMBO, kwa tuhuma za kuwarubuni wachezaji...
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.[emoji1666]
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN...
Viongozi wa Yanga mwambie ukweli kocha Nabi kuwa klabu ya simba ilikwishacheza nusu fainal klabu bingwa na fainal kombe la shirikisho inaonekana haijui vizuri Simba.
Kama alikuwa anadhani yeye...
Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda...
Mapungufu haya yafanyiwe Kazi ili Simba SC ya Msimu ujao iwe Moto na tusizoeleke kuishia Robo Fainali CAFCC
1. Kocha Robertino asiwe Mzito au Muoga kufanya Sub kama anavyoonekana na alivyofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.