Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Za weekend wadau wa soka, Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani. Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Mara nyingi utasikia hadithi na sifa kwa wachezaji wa Simba na Yanga. Ila kiukweli Mchezaji Price Dube ni bonge la Straika. Kati ya Mastraika ambao timu nyingi na haswa Simba SC, hawatawasahau...
2 Reactions
7 Replies
949 Views
Habari zenu... Kuna vitu vina Shangaza sana,hivi unapataje nguvu yakumfananisha mayele na hao wachezaji wenu wa mchongo. Tulifurahia John bocco alipofikisha magoli 100, tukashindwa kuelewa kuwa...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Mbali na kupoteza mechi ya kimataifa kizembe na ku draw na Namungo lakini bado benchi la ufundi hawajifunzi na hata wachezaj hawaoneshi seriousness ya mechi zilizobaki. Wakiingia tu mikwaju ya...
2 Reactions
17 Replies
931 Views
Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi sina maneno mengi tukutane mpira ukiisha Mechi na Yanga sio kipimo na siku ile Simba hakushambuliwa ipasavyo hivo msijipe matumaini kwa huyo kipa Hamna...
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Simba SC this season - 2022/23 No CAF Champions League No NBC Premier League No AZAM FA Cup No Mapinduzi Cup No Community Shield No Twitter World Cup[emoji23] Who to blame?
0 Reactions
3 Replies
348 Views
Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye wiki hii. "Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI –...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
Nasemaaaje mpira kidogo magoli mengi kula bomu 💥 Kula bunduki ya kiarabu twiu twiuu
2 Reactions
7 Replies
326 Views
Tutegemee kuona habari Kama hiyo baada ya yanga kutinga fainali kutoka kwa wachambuzi nzala/wachambuzi wa mchongo wanaolipwa na Simba sc ili wawatie Moyo mashabiki. Mwanzo tulikua hatusikii...
0 Reactions
6 Replies
983 Views
Mnyama Simba SC amepoteza fainali ya kombe la dunia kwa klabu zenye ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa Twitter kwa mwaka 2023 dhidi ya wababe wa krikeri kutoka India, RC Bangalore kwa 54% dhidi ya...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Mfano Madrid wanamtaka Jude Bellingham basi wamwambie ingia mitini halafu ukiwa ukiwa mitini nenda kwenye Shirikisho la Mpira Ujeruman uwaambie wavunje mkataba wake na Dortmund sababu huipendi na...
11 Reactions
178 Replies
7K Views
Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Karibu kwa updates za moja kwa moja kutoka uwanja wa Hayati Benjamin William Mkapa.🏟 Mpira utaanza saa moja kamili usiku, saa za Afrika Mashariki. Karibu. 00 refa anaanzisha mpira kwa kupuliza...
8 Reactions
863 Replies
41K Views
Wydad Casablanca ambayo inatarajiwa kumenyana na Mamelodi Sundowns katika hatua ya semi final ya ligi ya mabingwa afrika imemfukuza kazi kocha wake mhispania Juan Carlos. Kazi ya ukocha amepewa...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana. Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na...
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa...
28 Reactions
42 Replies
6K Views
Tanzania has signed Memorandums of Understating (MOU's) with the United States’ Major League Soccer (MLS), The National Football League (NFL) and National Basketball Association (NBA) clubs to...
3 Reactions
11 Replies
743 Views
Wakati nyie mnaparurana huko, sisi kama sisi huwa tupo peace and love na huwa tunapongezana pia kusaidiana mbinu pale inapohitajika. Haya ya kuchukiana tunawaachieni nyie mnaotoa viingilio.
1 Reactions
5 Replies
711 Views
Soma barua ya TFF ====== Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki. Yanga inatarajiwa kusafiri...
6 Reactions
65 Replies
7K Views
Back
Top Bottom